eti wana JF kweli, mtu na akili zake katika muda lakini masaa machache tu utakula na kama bado si ataenda shule ila ni vema ukasaini mikataba ujue kwamba kuandika hamna neno basi tu ni hali ya maisha kwani usumbufu huu hata juzi mvua ilinyesha lakini ukweli mahakamani huwezi kabisa kufahamu siku hiyo mtu akirudi kutafuta riziki halafu simba akimkimbiza swala unadhani nani atalaumia maana uchaguzi mkuu umeshamalizika basi tu watu wabishi we unadhani fisi akigongwa na gari nani atampeleka mtoto kujiandikisha shule na halafu ukifikiria sukari yenyewe kiafya sio nzuri eee eti jamani kama ni wewe si roho itakuuma?
Pesa niliyomuhonga kampa bwana wake anunulie vocha anitukane kwa vile nataka hela yake iishe alipopiga nikaweka loud speaker wa bunge nikamjibu kua napenda sana kukusikuliza kila siku clouds fm ya jijini London nchini Misri kwa rais Morsi akanikubalia nikamwachia akakimbia jee! mm kosa langu lipi hapo?
hivi nyie mmekutwa na nini... mbona mnanichanganya..
hahh hahha..
Du! nilitumia nguvu nyingi kuisoma hii thread ambayo dukani huwezi kukuta wanauza vocha ya silingi mia mbili hata siku moja jua lilipiga kila mtu akawa anavuta mpaka anamaliza shule hakujua kusoma wala kuandikisha wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa shule ambayo ina walimu sita tuu.
Unashangaa nini wakati Joyce banda pale kariakoo na mbuga za wanyama kule serengeti Kingozi ni Wiliam Ruto kutokana na kinana kumaliza meno ya tembo bundle za internet afya ya Mandela bado tete bustani zinalipa sana tatizo wanachakachua cement, kwani we hukuwaona JWTZ!??!
Du! nilitumia nguvu nyingi kuisoma hii thread ambayo dukani huwezi kukuta wanauza vocha ya silingi mia mbili hata siku moja jua lilipiga kila mtu akawa anavuta mpaka anamaliza shule hakujua kusoma wala kuandikisha wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa shule ambayo ina walimu sita tuu.
eti wana JF kweli, mtu na akili zake katika muda lakini masaa machache tu utakula na kama bado si ataenda shule ila ni vema ukasaini mikataba ujue kwamba kuandika hamna neno basi tu ni hali ya maisha kwani usumbufu huu hata juzi mvua ilinyesha lakini ukweli mahakamani huwezi kabisa kufahamu siku hiyo mtu akirudi kutafuta riziki halafu simba akimkimbiza swala unadhani nani atalaumia maana uchaguzi mkuu umeshamalizika basi tu watu wabishi we unadhani fisi akigongwa na gari nani atampeleka mtoto kujiandikisha shule na halafu ukifikiria sukari yenyewe kiafya sio nzuri eee eti jamani kama ni wewe si roho itakuuma?
TBC Leo wameonyesha ile taarifa ya pinda kulia si ikagongana na lori ikazama mpaka ndani ya maji ni uhai kwa sisi tusiojua zaidi ya Obama kuna serikali mpaka jana nikarudi nikauliza aliyeng'oa jimboni amepata wangapi pale hospitalini nijibu wewe?
Mmmh mzima kweli huyu ,mbona simwelewi
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Unajua pale inafuatana na upana wa septik tank ukizingatia yule Sasha sio mtoto wa Obama wa kumzaa, kuhusu soko sina uhakika sana lakini ndo vile tena kambale wakavu hutegemea kama papa aliyechaguliwa anakunywa kahawa!?? we fikiria matumizi ya kondom kama hujui kuogelea facebook haikufai, na NECTA hawana mchezo kama demu mwenyewe kapigwa ban.. hivi unadhani beach ni shambani!?? mwambie na mwenzio