Hata kama kimfaacho mtu chake ila kwa hili mabinti hapana!!

Hata kama kimfaacho mtu chake ila kwa hili mabinti hapana!!

6884c9b48695f1c4bda2387d9d97213e.jpg
kama hivi lol! [emoji115]
 
Mimi nataka kweli kupunguza tumbo ila nashndwa
Maana nilipotaka ushauri kwanza nikaambiwa nipunguze kula kiepe yai
Lol nikashindwa nikaona niachane navyo my husband loves me hata wote tukiwa na vitambi
 
kitambi kinasogezwa kwa juu picha linaendelea kama kawa, hapa kazi tu! 😉
 
Sijajua kwanini, au labda ni kutokana na mfumo wa uraji kubadilika au tabia ya kutopenda kujifanyia mazoezi! Maana kwa sasa imekuwa kawaida unakuta mdada kweli kajaaliwa tako tako ila anaona halitoshi anaamua kubalance uzito anaruhusu na kitambi!
Kwa upande wangu naona vitambi kwa mabinti vinaongezeka!

FANYENI MAZOEZI, NA MPUNGUZE VYAKULA BAADHI VINAVYOWAJAZA MATUMBO!

NI KWELI TUNAPENDA FIGA ZA KIBANTU ILA MSIJISAHAU MIILI IKAHARIBIKA NA KUPOTEZA MVUTO!!
Tatizo uroho umewazidi. Bia za ofa na nyoma choma twende, vyakula vya kitchen party na harusi twende, viporo ndo usiseme. Unategemea hilo linakuwa tumbo tena au ghala ya taifa. Na hao wenye vitambi kwa kujamba ndo wenyewe.
 
Kule kijijini kwetu sijawahi kuona Mwanamke mwenye kitambi,nasema ukweli kabisa labda akipata mimba tu.

Mjini mna mengi sana.
 
Mimi nataka kweli kupunguza tumbo ila nashndwa
Maana nilipotaka ushauri kwanza nikaambiwa nipunguze kula kiepe yai
Lol nikashindwa nikaona niachane navyo my husband loves me hata wote tukiwa na vitambi
Fanya mazoezi ya tumbo, kunywa maji moto na punguza kula vitu vya mafuta mafuta.
 
Fanya mazoezi ya tumbo, kunywa maji moto na punguza kula vitu vya mafuta mafuta.
Kinachomkondesha mtu ni Mazoezi na maji ya vuguvugu (sii ya moto) yaliyochanganywa na limao+asali mbichi.
 
Kinachomkondesha mtu ni Mazoezi na maji ya vuguvugu (sii ya moto) yaliyochanganywa na limao+asali mbichi.
Vuguvugu ndiyo hayo hayo moto na si lazima utumie hizo asali na limao. Afu hajasema anataka kukonda anataka kupunguza tumbo ni vitu viwili tofauti.
 
Vuguvugu ndiyo hayo hayo moto na si lazima utumie hizo asali na limao. Afu hajasema anataka kukonda anataka kupunguza tumbo ni vitu viwili tofauti.
Sawa ila kwa uzoefu wangu wengi huwa wanatumia maji ya vuguvugu then mix ya limao na asali ndiyo inayoyeyusha mafuta fastly...maji peke yake itamsaidia ila itachukua muda mrefu.
 
Back
Top Bottom