Oh!! Au umesahau kwamba wewe ni malaika kwangu(hivi malaika ni wa kike au kiume?) osh!! vyovyote vile sema neno moja tu na moyo wangu utafurahi........nafurahi kukusikia u mzima.
Neno moja tu 'UBARIKIWE' ..
Btw, mzima lakini?
^^
Vitendo vipi yani unanipenda halafu uchepuke wewe hunipend aisee!!!
Kwanini? Kwani nami nikichepuka nakuwa sikupendi? Hapa ndo wanaume mnaponiacha hoi....
Anamaanisha KUCHEPUKA sio kitendo, yaani sio KITENZI KIKUU T wala KISAIDIZI Ts!
Bali ni KICHEKESHI
Itamaanisha hunipendi. Ukinipenda kweli huwezi kuchepuka.
umenena kweli kabisa...Mwanaume anaweza akawa na mwanamke anaye mpenda sana lkn bado akachepuka. Na mwanaume anayempenda mwanamke wake utaona kwa vitendo vyake kwa huyo mwanamke.
Tukubaliane hapa..... na wewe ukinipenda kwa dhati kutoka katika uvungu na vilindi vya moyo wako huwezi kuchepuka. Sawa....