Sisi ndio wananchi na sisi ndio wapiga kura. Ubabe, Vijembe, Matusi haisaidii. Sisi tumemkubali. Alete maendeleo, hasilete, tutamchagua tu. Tumechoka!!!
Miaka miwili kafanya makubwa kuliko miaka 50. Ni dalili njema kwa wataka mabadiliko. Anaweza!!
Serikali imara kama kiongozi Fisadi inamshitaki. Miaka 8 yupo benchi hamjamshtaki halafu leo mnatuambia Fisadi! Hatuwaelewi! Imekula kwenu.
Unapomnyooshea mwenzako kidole, eti mchafu, jiangalie na wewe msafi?
Wananchi tumeamua!