Hata hivyo, hatutaogopa!

Your browser is not able to display this video.
 
Keyboard warrior

Watanzania wanachadema ni vichekesho sana.
 
Watekaji mna bunduki lakini mnaficha nyuso zenu kwa watu ambao hata rungu hawajabeba.

Ninyi ni dhaifu na waoga Tena few in number.

Kamwe haiwezi kutushinda umma wa watanzania.

NRNE 💪 🔥
 
Ukipata janga waliokua wanakushangilia watajitenga na wewe na kuendelea na mishe zao.

Mfano MDUDE NYAGALI hadi leo haijulikani yupo hai ama amekufa.

Watanzania tuache unafiki
Wakishatuteka na kutuua, wanakutumeni mje kuandika huu upumbavu ili tusishukamane. Puumbavu

Halafu hivi umeshamuona mama usoni?
 
Ukipata janga waliokua wanakushangilia watajitenga na wewe na kuendelea na mishe zao.

Mfano MDUDE NYAGALI hadi leo haijulikani yupo hai ama amekufa.

Watanzania tuache unafiki
SIku ukifikiwa utajua mnafiki ni nani!
 
Wanainchi watembee na visu kujihami maana wanajeshi na polisi hawana ulinzi tena kwa wananchi

jamii frum mtulinde
Usiogope.

Wanabeba bunduki lakini wanficha sura zisionekane.

Ni waoga na waliochanganyikiwa .


Vita hii tumeshinda.

NRNE 💪 🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…