Kwa kweli nimeona kasi kubwa inayofanywa na serikali ya awamu ya tano katika kupunguza matumizi serikali na nikagundua kuwa hata hii ni njia inayotumiwa pia.
Nimeona habari ya TTCL kupunguza wafanyakaz 400 hii ni sawa na kusave milion 120 kwa mwez au bil 1.44 kwa mwaka nimepiga kwa misharaha ya kima cha chin yan laki tatu (300,000tshs) kwa hyo badae kampun itasema imeongeza mapato yake kwa kupunguza style hyo na pia baadhi ya viwanda tanga kufungiwa kwa sabab ya kuchafua mazingira.
Namkubali sana magufuli ila asideal sana na minority badala ya majority watu wanataka fursa mpya za ajira ,kushusha bei ya bidhaa na vyakula ,Na hao jamaaa a.k.a(majipu) kiboko yao n katiba mpya tuu maana ndo uchochoro wao huo, tupia mifano mingine ya kubana matumizi uliyoiona.