Hata hii ni mojawapo ya uchizi

Maalum kwa barabara za Daresalaam zenye mahandaki(Gongolamboto-Machimbo)..
 
Last edited by a moderator:
Kweli uchizi umegawanyika,wapo machizi freshi na mafyatu huyu atakuwa fyatu aiseee
 
anachoka kuchomokewa na malori kaamua na yeye awe lori
 
Shock up za umeme hizo, zinapanda na kushuka.
Safi sana kwa waomba lifti njiani imekula kwao...
 
Shock up za umeme hizo, zinapanda na kushuka.
Safi sana kwa waomba lifti njiani imekula kwao...

Duu basi hii poa sana nitajenga nyumba yangu jangwani yenye hizi shockups mafuriko yakija nawasha nyumba inapanda juu
 
Nzuri kwa rough-road za huku kwetu Babati kuelekea Tarangire kuwinda Tembo usiku na msela wangu kinana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…