Hii kitu kinajengwa pale Slipways,kwa watu wanavyomshupalia Ritz1 mtasema hata huu mjengo ni wa kwake
kama si yake ni ya rafiki wa baba yake..
kama si yake ni ya rafiki wa baba yake..
Owner wa hayo majengo ni Yusuph Manji, kuna kipindi yalikua na mgogoro na manispaa na ujenzi ukasimamishwa na wahandisi..sasa naona yanajengwa sijui kunani hapo!