Hata CHADEMA ni porojo tu...

Hata CHADEMA ni porojo tu...

Watu wa maGAMBA acheni kuweweseka! cdm itawang'a2 mliwanunua cuf na Vyama vingine mlidhani na cdm mtainunua! Mwenyekiti wenu kawaambia mjiandae kisaikolojia kwa serikali 3 yy mwenyewe katumia saikolojia hiyo kuwaambia mjiandae kisaiklolojia kuwa chama chaupinzani!

CHADEMA bana kama MUNGU na malaika zake kila kukicha (utamu unakuja, utamu unakata x6)
 
Mbona taasisi za dini zinayafanya hayo yote "Mungu kakupa akili na maalifa bule, kuvitumia ni hiari yako mkuu"
pole sana ndugu yangu wahenga hawajakosea kusema ni heri ukose mali kuliko akili hivi kwa akili yako kazi ya chama cha siasa ni sawa taasisi za dini ,pili chadema bado haijashika dola hata hiyo unayotaka wafanye hawataweza kwasababu chama cha mafisadi hakitakubali kwani wanaogopa chama kupata umaarufu hivyo watawakwaza kwa namna yoyote
 
mkuu umenisaidia sana kufikisha ujumbe (bila kujua): Je ni kweli kwamba CHADEMA INASUBILI KUSHIKA DORA ndo iwasaidie wananchi?? Je ghalama za kurusha helcopta ni kiasi gani?? Kama mwanachama makini lazima nikikosoe chama.
Inji hii ni kubwa sana,ukisema wafanye kama waeneza Imani yaani Kanisa,hapo watachemsha mchana kweupe.Kitu cha kwanza ni kuwaelimisha wananchi juu ya serikali yao,kitu ambcho ndio CDM wanafanya,kitu cha pili ni kupata wanachama kitu ambacho pia kinafanyika,kitu cha tatu ni kupewa mamlaka ya kufanya mambo kitu ambacho wanakisubiria kutoka kwa wananchi,kitu cha nne ni kutumia mamlaka waliyopewa kuwaletea wananchi maendeleo,hapo sasa ndio utazungumzia zahanati,shule,maji etc.Ukifanya vinginevyo ni kutwanga maji kwenye kinu.Maana serikali husika yaweza kutaifisha vitu vyote kama ilivyowahi kufanya kwa Kanisa.
 
Inji hii ni kubwa sana,ukisema wafanye kama waeneza Imani yaani Kanisa,hapo watachemsha mchana kweupe. Kitu cha kwanza ni kuwaelimisha wananchi juu ya serikali yao, kitu ambacho ndio CDM wanafanya, kitu cha pili ni kupata wanachama kitu ambacho pia kinafanyika, kitu cha tatu ni kupewa mamlaka ya kufanya mambo kitu ambacho wanakisubiri kutoka kwa wananchi, kitu cha nne ni kutumia mamlaka watakayopewa kuwaletea wananchi maendeleo,hapo sasa ndio utazungumzia zahanati, shule, maji nk. Ukifanya vinginevyo ni kutwanga maji kwenye kinu.

Vilevile tunaweza kuipima CHADEMA kwa sehemu zile ambazo imepewa mamlaka na wananchi. Ziko halmashauri kadhaa ambazo ziko chini ya CHADEMA. Japo haipokei kodi (kama serikali ya kitaifa iliyo chini ya "FISI-WENU") bado rasilimali kidogo zinazopatikana kwenye halmashauri hizi inaweza kuonekana zimetumika wapi. Hii si porojo, ni mambo ambayo ukienda unaona na tofauti ipo ukilinganisha na zile halmashauri ambazo zinaongozwa na "FISI-WENU".

Vinginevyo, nenda popote duniani, utakuta kuwa hayo majukumu unayotaka CHADEMA wayatekeleze wala hakuna chama chochote cha upinzani ambacho kinayafanya. Hata TANU haikufanya chochote kabla ya kushika dola. Lakini Watanganyika waliiamini na kuipa madaraka kwa maelezo ya sera zao na wala sio kujenga na kuendesha zahanati na shule. Uwe mkweli, usidanganye wana JF. Kila jambo lina wakati wake. Huwezi kuwa mseja halafu ukataka kuyafanya mambo kama aliyeoa au kuolewa. Vivyo hivyo na vyama, kinachotawala kina majukumu yake na cha upinzani halikadhalika kinayo ya kwake. Usichanganye mambo.
 
The heading itself shows you are desperate! Unadhani kama CCM ni polojo (ikiwa ndo mtawala na mmiliki wa dola) ndo ilivyo CDM? Then mageuzi yatakujaje kama kama umekata tamaa hivyo....any way behind you there are more courageous people ready for the revolution. Tanganyika ya 2015 hamtahisahau
 
Mkuu mimi nimefanikiwa kusoma "Utangulizi" na "Hitimisho" nikipata muda wiki ijayo naweza pitia hizo blaa blaa zingine..
 
Utangulizi.
Bado nina kadi ya CHADEMA,

Maada
Naipenda hii nchi kuliko Vyama na siasa zake, Kabla ya mifumo ya vyama Tanzania ilikua na wakazi na waliishi kwa taratibu na misingi yaliyojipangia wakati huo.

CCM wameshindwa kuwawezesha watanzania kupata hata yale mahitaji muhimu (food, cloth, and shalter), ni masikitiko makubwa sana.Wameiba kila kinachoibika na kutuachia MAPANKI. Miaka Hamsini ya utawala wao (huku wakibadili majina ya CHAMA kama ile hoteli maarufu ya jijini DAR "SERENA") Imekua ya machozi jasho na damu.ANYWAY Mungu yupo na sote tunaamini hivyo..

poote umesema na wenye akili wamekuelewa ila tatizo ni hapo kweneye red! sijui jinsia yako ila ina sound kama wewe ni "me", kama nime guess right, kwa nini ufyatue watoto au uoe mke kama bado unasubiri chakula, nguo, nyumba ... toka serikalini? au wewe mkimbizi? ni serikali gani imeweza hilo? hata marekani haijaweza iwe bongo? hebu watu tuamke tuwe na familia tunazo zimudu badala ya kufyatua fyatua halafu tunaanza kulalama ati ugumu wa maisha.

mengine kama una bahati, watakujibu wenye cdm yao otherwise subiri mitusi maana jamaa maneno kama haya yanawacho! wanapenda misifa tu ushauri wana allergy nayo kama kagame.
 
pole sana ndugu yangu wahenga hawajakosea kusema ni heri ukose mali kuliko akili hivi kwa akili yako kazi ya chama cha siasa ni sawa taasisi za dini ,pili chadema bado haijashika dola hata hiyo unayotaka wafanye hawataweza kwasababu chama cha mafisadi hakitakubali kwani wanaogopa chama kupata umaarufu hivyo watawakwaza kwa namna yoyote

mbona ya babu mnayaweza(7.5 mill)
 
Mkuu umesomeka kuichagua chadema ni sawa na kupima kina cha maji kwa mguu. Nishaona porojo zaooo. Wakati wa kampeni wagombea mh. Hata kama hukuwa madarakani umefanua nini ili tukuamini na kukupa ridhaa? Sijui cdm ndo mtajibu hizi pumba...
 
nachosikitika watu wanaojiita wa CDM wanapokuja na matusi..hawana hoja .hawajibu hoja.huku ni kudhalilisha chama kabisa. kuna watu mi nadhan hata akil hawakupewa kabisa. kuna -------- mwingne anadhan yeye ana uchungu na chadema kuliko hata nchi yenyewe. haya mambo ya kusema tukichukua nch tutafanya hiv na vile ni uongo. hebu tuoneshane mifano.CCM wameshindwa nan anaweza kwa vitendo? au ndo ya kutoa afadhar kuingiza potelea mbal? mumjib kwa hoja na si vioja na matusi. mueleweshen kama hajaelewa. why mchukulie kama chadema ni Chama kamilifu hakina mawaa? watu wa CDM hamtak kabisa changamoto mnataka mdumishe tu fikra za mwenyekit na katibu? huu ni upumbavu.leten hoja hapa leten mifano. wanakuja kujib watu wa hovyo hovyo wanajifanya CDM na kudhalilisha chama.
 
mada inaeleweka na imeandikwa vizuri;ila kama hautaki kuelewa huwezi kuelewa;ata madawati;wanashindwa kununua?
 
mkuu umenisaidia sana kufikisha ujumbe (bila kujua): Je ni kweli kwamba CHADEMA INASUBILI KUSHIKA DORA ndo iwasaidie wananchi?? Je ni kiasi gani?? Kama mwanachama makini lazima nikikosoe chama.
Ukitaka kujua gharama ya elimu, jaribu ujinga...Tanzania inaogelea kwenye ujinga na kuikomboa kwahitaji gharama. SONGOKA uliwahi kusikia usemi wa the fool and his money are soon parted? Chadema kwa sasa inachofanya ni kutoa elimu na kama ungekuwa na akili kidogo tu ungeishang'amua kuwa hiyo elimu wanayotoa hadi sasa imeonesha mafanikio makubwa. Hiyo unayoita ghalama za kurusha helcopta (sic) si lolote si chochote ukiilinganisha na mali ya elimu wanayoitoa kwa jamii...hiyo ndio kazi ya chama cha siasa cha upinzani. Chadema inawaamsha wananchi wajue rasilimali za taifa hili zinavyotafunwa na walafi badala ya kutumika kuwaendeleza na hapa wewe SONGOKA ni mmoja katika watu wanaohitaji kweli kweli kuelimishwa na Chadema.

Ghalama, dora na maneno kama hayo unayoyatumia without even batting an eyelid ni indicator tosha kuwa wewe SONGOKA ni muathiriwa mkubwa wa ujinga unaopigwa vita na Chadema. Naweza nikasema bila kusita wewe huna kadi ya Chadema na unaumia sana kwamba kiwingu cha ujinga kilichowafunika wananchi walio wengi taratibu Chadema wanakisambaratisha. Hii mada yako ni ya hofu, hofu iliyowatanda wananchama wote watiifu wa hiki chama kilichopoteza dira, kimbilio la wezi na wanafiki, kambi ya mafisadi na wazungu wa unga, CCM. Gharama wanayoitumia Chadema kutoa elimu ni kama tone la mchanga kwenye bahari ikilinganishwa na mamilioni kwa mabilioni yanayotafunwa na genge hili la majizi lililokamata dola.
 
Misioni kama cdm wanaukweli wowote zaidi ya kuwafanya wa tz. Madaraja
 
Umetoa mawazo mazuri lakini waumini wa Slaa watakutukana mpaka uliache jukwaa.
 
pole sana ndugu yangu wahenga hawajakosea kusema ni heri ukose mali kuliko akili hivi kwa akili yako kazi ya chama cha siasa ni sawa taasisi za dini ,pili chadema bado haijashika dola hata hiyo unayotaka wafanye hawataweza kwasababu chama cha mafisadi hakitakubali kwani wanaogopa chama kupata umaarufu hivyo watawakwaza kwa namna yoyote
mwambie kwanza ajiridhishe na mnara wa mwangosi wamejitokeza kupe from no where.
 
nachosikitika watu wanaojiita wa CDM wanapokuja na matusi..hawana hoja .hawajibu hoja.huku ni kudhalilisha chama kabisa. kuna watu mi nadhan hata akil hawakupewa kabisa. kuna -------- mwingne anadhan yeye ana uchungu na chadema kuliko hata nchi yenyewe. haya mambo ya kusema tukichukua nch tutafanya hiv na vile ni uongo. hebu tuoneshane mifano.CCM wameshindwa nan anaweza kwa vitendo? au ndo ya kutoa afadhar kuingiza potelea mbal? mumjib kwa hoja na si vioja na matusi. mueleweshen kama hajaelewa. why mchukulie kama chadema ni Chama kamilifu hakina mawaa? watu wa CDM hamtak kabisa changamoto mnataka mdumishe tu fikra za mwenyekit na katibu? huu ni upumbavu.leten hoja hapa leten mifano. wanakuja kujib watu wa hovyo hovyo wanajifanya CDM na kudhalilisha chama.
tupeni pesa tupeni mradi tuusimamie halafu baadae mtuulize.kutuuliza wakati hatuna pesa ni kutuonea.kampeni tunazofanya ni kukikuza chama ili kudumisha ukomavu.na ni kumdhihirishia akili ndogo fulani kwamba chama chetu sio cha msimu.na mkitaka kujua tuna hoja andaeni mdahalo wa live.cdm vyema
 
Muda wa maneno ushapita cku hizi tunataka vitendo fanya action then njoo uombe kura ili useme niliwahi fanya hivi. Vinginevyo hatuwezi kukuamin
 
tupeni pesa tupeni mradi tuusimamie halafu baadae mtuulize.kutuuliza wakati hatuna pesa ni kutuonea.kampeni tunazofanya ni kukikuza chama ili kudumisha ukomavu.na ni kumdhihirishia akili ndogo fulani kwamba chama chetu sio cha msimu.na mkitaka kujua tuna hoja andaeni mdahalo wa live.cdm vyema

Hamna pesa? Mmh hayo mabakuli ya jerojero za watz anakula nani mkuu? Mleta mada kasema kama mna uwezo wa kushawishi watu wakaandamana na kufanya vurugu.. Mtashindwaje kuwashawishi wachangie mjenge hata kadarasa kamoja.
 
Back
Top Bottom