Lema amechelewa, amekuta wengi wanaweza kuchambua Ukweli, sasa ana kazi aliyopewa, moja, kuisafisha serikali, mbili kuilainisha CDM. Sijui kwa nn amekubali kazi ngumu hiiAmeongea kwa jazba kutaka kutumia hisia kama kinga 🐀.
Wewe britanicca ni miongoni mwao?...Habari wana JF,
Ule unaoitwa mtandao, una kila sampuli ya memba/watu. Wapo kila mahali. Ndio maana wanafanikiwa.
Wamo ndani ya vyama vya siasa vyote, wamo JF, IG, X, Fb, TikTok, threads, n.k. Wapo bongo, wapo diaspora.
Ni kama team ya mpira, kuna goalkeepers, defenders, midfielders, attackers, n.k. Wana 1st eleven, wana substitutions, wana reserve n.k. Wana sajili permanent, Wana sajili kwa mkopo (on laon transfers).
Press ya Lema, ina wasindikizaji, tena wapo wanaoaminika kabisa.
Lema hana impact peke yake, ila zikishaungana hizi team zote, na huku Jf na kule social media, "wanategemea" atapata mileage.
Pona yake Lema na mkakati wao wote, ni Lissu yupo ndani. Angekuwa nje hata dakika tano tu. Mchezo wote wa Lema ungekufa saa kumi na mbili asubuhi.
Huyu niliyemtaja hapa ndie alisema Lissu ataachiwa huru. Mange alisema Lissu atafungwa maisha. Tusubiri tarehe 06, mtaniambia nani ni "mwanamtandao" au nani analishwa matango pori na kitengo.
Kule cdm kuna yule wa mkoa m.eya, kuna byi, kuna mlis.a, kuna dada, kuna pimb.il, kuna ktb, ni wengi sana, huwezi kuwataja wote.
NB: Lema mkumbuke rafiki yako Alphonce Mawazo, halafu rudia hiyo press yako ya leo.
Kazi ngumu sana...kipindi hiki watu wanataka majibu na uwajibikaji wa Oct 29Lema amechelewa, amekuta wengi wanaweza kuchambua Ukweli, sasa ana kazi aliyopewa, moja, kuisafisha serikali, mbili kuilainisha CDM. Sijui kwa nn amekubali kazi ngumu hii
Kwani britanicca anasemaje?Habari wana JF,
Ule unaoitwa mtandao, una kila sampuli ya memba/watu. Wapo kila mahali. Ndio maana wanafanikiwa.
Wamo ndani ya vyama vya siasa vyote, wamo JF, IG, X, Fb, TikTok, threads, n.k. Wapo bongo, wapo diaspora.
Ni kama team ya mpira, kuna goalkeepers, defenders, midfielders, attackers, n.k. Wana 1st eleven, wana substitutions, wana reserve n.k. Wana sajili permanent, Wana sajili kwa mkopo (on laon transfers).
Press ya Lema, ina wasindikizaji, tena wapo wanaoaminika kabisa.
Lema hana impact peke yake, ila zikishaungana hizi team zote, na huku Jf na kule social media, "wanategemea" atapata mileage.
Pona yake Lema na mkakati wao wote, ni Lissu yupo ndani. Angekuwa nje hata dakika tano tu. Mchezo wote wa Lema ungekufa saa kumi na mbili asubuhi.
Huyu niliyemtaja hapa ndie alisema Lissu ataachiwa huru. Mange alisema Lissu atafungwa maisha. Tusubiri tarehe 06, mtaniambia nani ni "mwanamtandao" au nani analishwa matango pori na kitengo.
Kule cdm kuna yule wa mkoa m.eya, kuna byi, kuna mlis.a, kuna dada, kuna pimb.il, kuna ktb, ni wengi sana, huwezi kuwataja wote.
NB: Lema mkumbuke rafiki yako Alphonce Mawazo, halafu rudia hiyo press yako ya leo.
Hajielewi Ina Maana ntakuwa mwana mtandao ambaye njitolea labda , sinufaiki na kituSoma ulicho andika sw.
Kazi ni kipimo cha utu
Binafsi nakuona snitch tuBritanicca has long transcended those kindergarten level echelons of politics; her modus operandi is strictly factual and forward looking. As for me, I invariably stand with the truth, irrespective of which political faction articulates it!
I am telling you, the majority of those who follow that Mange Kimambi are denizens of TikTok and Instagram, individuals who utilize their buttocks to cogitate in lieu of their brains! I mean, would you take an intelligent member of JamiiForums and expect him to believe that Mbowe will return as Chairman under which provision of the CHADEMA constitution?
Firstly, even mentioning me in this thread is a debasement of my dignity! I have known Kimambi since 2015; even Maria Sarungi, they were promised the position of State House spokesperson, Mr. KATTO altered the arrangement and they became hysterical. Since those days, they have never recovered.
Britanicca
Alafu sasa kanapostigi vitu ambavyo kama umeamua kufatilia matukio ya kisiasa unaweza kuyajua vizuri tu ata kamaeupo isakalilo unalimaBritannica mnamkuza tu kwa sababu katabiri mawili matatu yakatiki.
Unaweza kuelezea kidogo faida ya hizo taarifa zako nusu nusu kwa watanzania wanaoteseka na utawala huu wa kishetani Toka CCM?Hajielewi Ina Maana ntakuwa mwana mtandao ambaye njitolea labda , sinufaiki na kitu
Bora Pasco Mayalla mara mia yeye hua anafungua thread nyingi za kusifia watu tofauti tofauti akitokea moja akapata nafasi za juu yeye anafufua tu thread. Kafanya hivo kwa Philip Mpango, Paul Makonda, Mwigulu Nchemba, Tulia Ackson, Samia mwaka 2009-2010, JPM 2013/2014 na kina Nchimbi.Alafu sasa kanapostigi vitu ambavyo kama umeamua kufatilia matukio ya kisiasa unaweza kuyajua vizuri tu ata kamaeupo isakalilo unalima
Ni kweli kabisa, Britanicca, Tumia akili ni kundi hilo hilo la wanamtandao,Habari wana JF,