Haswaaaa!

What is a key for HIV?

Ukiwa na ufahamu kamili kuwa kuna janga la UKIMWI katika jamii na linaaenezwa kwa njia ya kufanya ngono isiyo salama, kuchangia vitu vyenye ncha kali, kuwekewa damu isiyo salama nk, suluhisho ni kujihadhari na kufanya ngono zembe, kuchangia vitu vyenye ncha kali kuhakikisha damu anayowekewa mgonjwa muhitaji ni salama nk, kinyume na hapo unakuwa umepoteza hiyo funguo!
 

If you mean a key of that nature then kila kitu/ugonjwa kina/una key! Kwa maelezo yako Hapo nimeshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…