theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,750
- 15,642
Sio baba yake halisi mkuu...Inasemekana?!!!!!!!

Wanafikiri kila mtu ana akili za kutukana viongozi, hassan ngoma big up, simamia unachokiamini, waache wabwabwajehahahaha Makamanda Chaliiiii wana tetemeka,,,,,,
Akizungumza katika kipindi chao cha 360cloudstv mtangazaji Hassan Ngoma amewashangaa sana wale Watanzania ambao hujifanya kumsema vibaya Rais Dr. Magufuli wakiwa mbali lakini siku wakikutana nae katika hafla mbalimbali huwa wanabaki tu kutetemeka na kubabaika.
Mtangazaji huyo katika hali inayoonyesha wazi kuwa maelezo yake haya yalikuwa yakimlenga hasa mwanaharakati Mange Kimambi na Viongozi wa juu wa Chama cha CHADEMA amesema kwamba kama kuna Mtu yoyote anapenda kuonana ana kwa ana na Mheshimiwa Rais Dr. Magufuli basi aonane nae yeye ( Hassan Ngoma ) ili ampeleke kwani kwa sasa ana free pass ya kuingia Ikulu wakati wowote ule anapojisikia.
Duh masikini akipata makalio hulia mbataaa!Akizungumza katika kipindi chao cha 360cloudstv mtangazaji Hassan Ngoma amewashangaa sana wale Watanzania ambao hujifanya kumsema vibaya Rais Dr. Magufuli wakiwa mbali lakini siku wakikutana nae katika hafla mbalimbali huwa wanabaki tu kutetemeka na kubabaika.
Mtangazaji huyo katika hali inayoonyesha wazi kuwa maelezo yake haya yalikuwa yakimlenga hasa mwanaharakati Mange Kimambi na Viongozi wa juu wa Chama cha CHADEMA amesema kwamba kama kuna Mtu yoyote anapenda kuonana ana kwa ana na Mheshimiwa Rais Dr. Magufuli basi aonane nae yeye ( Hassan Ngoma ) ili ampeleke kwani kwa sasa ana free pass ya kuingia Ikulu wakati wowote ule anapojisikia.
Huyu Hassan Ngoma nina wasiwasi na upeo wake wa kufikiri na kuchambua mambo. Sidhani kama alifaulu vizuri shuleni. Anabwabwaja tuuuu
Hapo kwenye kitimoto ndo umeharibu bora ungesema bataSidhani kama hizo million 100 wamepewa itabidi kwanza apige promo ndio wapewe hizo fedha....
Ndio maana sasa hivi jamaa anatumia nguvu nyingi sana kutuaminisha mkuu ni msafi wakati ni mchafu kama kitimoto....
ameona upepo sio rafiki tena mkuu....
Akizungumza katika kipindi chao cha 360cloudstv mtangazaji Hassan Ngoma amewashangaa sana wale Watanzania ambao hujifanya kumsema vibaya Rais Dr. Magufuli wakiwa mbali lakini siku wakikutana nae katika hafla mbalimbali huwa wanabaki tu kutetemeka na kubabaika.
Mtangazaji huyo katika hali inayoonyesha wazi kuwa maelezo yake haya yalikuwa yakimlenga hasa mwanaharakati Mange Kimambi na Viongozi wa juu wa Chama cha CHADEMA amesema kwamba kama kuna Mtu yoyote anapenda kuonana ana kwa ana na Mheshimiwa Rais Dr. Magufuli basi aonane nae yeye ( Hassan Ngoma ) ili ampeleke kwani kwa sasa ana free pass ya kuingia Ikulu wakati wowote ule anapojisikia.
Akizungumza katika kipindi chao cha 360cloudstv mtangazaji Hassan Ngoma amewashangaa sana wale Watanzania ambao hujifanya kumsema vibaya Rais Dr. Magufuli wakiwa mbali lakini siku wakikutana nae katika hafla mbalimbali huwa wanabaki tu kutetemeka na kubabaika.
Mtangazaji huyo katika hali inayoonyesha wazi kuwa maelezo yake haya yalikuwa yakimlenga hasa mwanaharakati Mange Kimambi na Viongozi wa juu wa Chama cha CHADEMA amesema kwamba kama kuna Mtu yoyote anapenda kuonana ana kwa ana na Mheshimiwa Rais Dr. Magufuli basi aonane nae yeye ( Hassan Ngoma ) ili ampeleke kwani kwa sasa ana free pass ya kuingia Ikulu wakati wowote ule anapojisikia.
Amuulize Jerry Muro kwanzaAnatafuta cheo uyo