F fredism Senior Member Joined Sep 6, 2017 Posts 157 Reaction score 155 Jul 14, 2024 #1 Nimeona picha zinatrend mtandaoni kwenye harusi yake watu maarufu wakiudhuria akiwemo mstaafu Kikwete, mawaziri, watu maarufu, wasanii n.k
Nimeona picha zinatrend mtandaoni kwenye harusi yake watu maarufu wakiudhuria akiwemo mstaafu Kikwete, mawaziri, watu maarufu, wasanii n.k
B Barbiedoll JF-Expert Member Joined Apr 7, 2023 Posts 773 Reaction score 2,163 Jul 14, 2024 #2 Ebu tuone hizo picha labda tutapata majibu
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 21,701 Reaction score 57,089 Jul 14, 2024 #3 fredism said: Nimeona picha zinatrend mtandaoni kwenye harusi yake watu maarufu wakiudhuria akiwemo mstaafu Kikwete, mawaziri, watu maarufu, wasanii n.k Click to expand... Pita kule X kwenye page ya Mange Kimambi kaelezewa vizuri na utaona mpaka Mawaziri walivyo kuwa wana pledge michango ya Harusi. Mtu anatoa 30M mchango wa Harusi
fredism said: Nimeona picha zinatrend mtandaoni kwenye harusi yake watu maarufu wakiudhuria akiwemo mstaafu Kikwete, mawaziri, watu maarufu, wasanii n.k Click to expand... Pita kule X kwenye page ya Mange Kimambi kaelezewa vizuri na utaona mpaka Mawaziri walivyo kuwa wana pledge michango ya Harusi. Mtu anatoa 30M mchango wa Harusi
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,914 Reaction score 97,953 Jul 14, 2024 #4 Niliona Riziwani Kikwete alichangia Milioni 20 😀😀 ,Dalali wa DP WORLD amepost sana hiyo harusi.
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 25,044 Reaction score 60,235 Jul 14, 2024 #5 Kaoa kwa Jumanne Kishimba.Ni mzaramo mmoja hivi .
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,021 Reaction score 39,503 Jul 14, 2024 #6 Genge la Msoga na GSM