Hasira za konda

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,035
Reaction score
168,660
Konda akiwa usingizini akaota mteja kagoma kumlipa nauli. Wakabishana na hatimae mteja akachoropoka katika daladala na kuanza kukimbia, konda akaamua kumfukuza, mteja ambae akaingia kwenye shimo dogo ambalo konda alishindwa kuingia. Kwa kisirani akaamua kumkojolea mteja yule aliyeingia katika shimo, wakati anajitayarisha kumaliza kisirani kwa kuongeza na haja kubwa kwenye shimo hilo, akaamshwa na mkewe;
MKE: Mungu wangu, baba sikuzani mbona umekojoa kitandani jamani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…