NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Kassim Salum (18) mkazi wa Dar Es Salaam, amehukumiwa kwenda Jela Maisha kwa kosa la kuiba simu aina ya Tecno (TZS 110,000) na kujeruhi.
Mwenzetu hicho kisu umekisoma wapi?Ni sawa ni wizi wa kutumia silaha.Kisu kinaua fikiria ingekuwa bunduki kammwagia risasi kumpora simu yake ta TECNO.
Wizi wa kutumia silaha hauangalii silaha gani hata kiwembe ukimkata mtu kumpora unalamba jela ya uhakika.
Pro CCM bhana, wana uchumi wao, MADOKTA wao, Polisi wao, Mahakimu wao, sasa yehodaya na Uhakimu wapi na wapiNi sawa ni wizi wa kutumia silaha.Kisu kinaua fikiria ingekuwa bunduki kammwagia risasi kumpora simu yake ta TECNO.
Wizi wa kutumia silaha hauangalii silaha gani hata kiwembe ukimkata mtu kumpora unalamba jela ya uhakika.
Angeua na hicho kisu unajua angenyongwa.Wewe unadhani kisu ni silaha ndogo? Huyo hakimu atakuwa kaangalia alimjeruhi vipi huyo mtu aliyempora.Yawezekana alimkata koromeo kaponea chupu chupu kufa.Kumjeruhi mtu na kisu ni kitu kizito.Mwenzetu hicho kisu umekisoma wapi?
Ahahaha,hakimu bwana!hasira za kuisoma namba kamumalzia huyo petty thief!dammit!
Mkuu hiyo kitu inapatikana CCM tu.Inaitwa kizungu MULTI SKILL .CCM inao kibao watu kama mimi wenye ufahamu wa kutosha kwenye mambo mbali mbaliPro CCM bhana, wana uchumi wao, MADOKTA wao, Polisi wao, Mahakimu wao, sasa yehodaya na Uhakimu wapi na wapi
Uwe unafikiri kabla ya kuandika!Ni sawa ni wizi wa kutumia silaha.Kisu kinaua fikiria ingekuwa bunduki kammwagia risasi kumpora simu yake ta TECNO.
Wizi wa kutumia silaha hauangalii silaha gani hata kiwembe ukimkata mtu kumpora unalamba jela ya uhakika.
safi sana hiyo ndiyo dawa ya wezi. sitoshangaa Chadema wataingilia kati na kukata rufaa
Huyo kibaka alikuwa kibaka mwenzio mbona mishipa ya kumtetea inakutoka?Uwe unafikiri kabla ya kuandika!
PUMB.VUsafi sana hiyo ndiyo dawa ya wezi. sitoshangaa Chadema wataingilia kati na kukata rufaa
Mkuu umenichekesha sana hali ngumu imemfanya hakimu kumalizia hasira kwa dogo wa 18yrs sasa sipati picha engepelekewa yule mmasai aliyepiga mkulima mkuki wa mdomon morogoro sijui angempa hukumu ganAhahaha,hakimu bwana!hasira za kuisoma namba kamumalzia huyo petty thief!dammit!
Angeua na hicho kisu unajua angenyongwa.Wewe unadhani kisu ni silaha ndogo? Huyo hakimu atakuwa kaangalia alimjeruhi vipi huyo mtu aliyempora.Yawezekana alimkata koromeo kaponea chupu chupu kufa.Kumjeruhi mtu na kisu ni kitu kizito.
Hujakutana nao wewe waweza kukukata koromeo kukupora ndala.Siku wakikukata koromeo kukupora ndala ukanusurika kufa ndio utajua huyo ni petty thief au jambazi sugu.Jambazi sugu hatafsiriwi kwa anachoiba ni aina ya silaha anayotumia.Hivi kibaka akija na shoka akakupasua na shoka shingoni akagawa shingo na bega kukupora kisimu chako cha nokia tochi cha elfu 10 UTASEMA huyo ni petty thief?
Mawakili wao sasa hivi watakuwa wanajiandaa kumkatia rufaa pia usishangae watetezi wa majambazi akina KIJO BISIMBA wale walilaani polisi kuua majambazi kuibuka kulaani hiyo hukumu wakiwa upande wa huyo kibaka na kumtetea kuwa kaonewa.Hawatamtetea aliyepigwa kisu bali kibaka.