Hasira kwa mpenzi wangu zimezidi

Hasira kwa mpenzi wangu zimezidi

Washamaliza semester II, tutakoma humu!
 
Haya ni madhara yakutegemea nguzo moja ikianguka na ww chini ww wekeza sehemu nyingu hata zingua kwanza lady wanapenda mtu player na aggressive sasa ww jilize lize uendeshwe ovyoo...Act as man ...treat ur lady Badly sometime
 
Hata mm ningenuna. Ubusy gan huo wa siku mbili? Toa maelezo ya maana
 
Mambo mengine bora muwe mnajiongelea wenyewe kimoyomoyo maana ni kujitia aibu tu.
 
Haya ni madhara yakutegemea nguzo moja ikianguka na ww chini ww wekeza sehemu nyingu hata zingua kwanza lady wanapenda mtu player na aggressive sasa ww jilize lize uendeshwe ovyoo...Act as man ...treat ur lady Badly sometime

Samahani ndugu huu ushauri ni wa mvulana au mwanaume rijali juu na chini??
 
Sometimes i can't help but wonder, is it possible to make the use of condoms mandatory for us Tanzanians? You know, for the next gen's sake.
 
Unacho takiw kujua ni kwamba, Ukipendwa kaachwa mwingine, Ukiachwa kapendwa mwingine. Tafakari Umependwa? au Umeachwa? jibu utakuwa unalo!!
 
mwarabu113

Wote mnamakosa!
Kaen zungumzen! Peaneni mwingozo!
Hajakutafuta, hujamtafuta! Halafu mnanuniana! Unless alikutafuta ukapiga busy! Hapo shuka tu jieleze vzur kwa mwenzio!

Ila next time, hata kama uko busy kiasi gani taarifa kwa mwenzio ni muhimu! Huwez niambia wewe 24 hrs hujagusa simu, yuko sahihi sana! Vaa viatu vyake utamuelewa! Unless hamna future plan yoyote!

Kila la kher mkuu! !
 
Last edited by a moderator:

nashkuru sana mkuu,nmekuelewaa
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe siku mbili zote hujamtafuta mpz wako kwasababu gani? Nawe una kisirani, so visirani vimekutana.
 
aibu gani uloiona hapo?

Usimpigie simu wala msg siku 2masaa48 then unaenda bila maelezo??? humpendi wala kumjali
labda kama ulikua busy huli hunywi hulali huogi maana dakika5 inatosha kwa siku
 
Dawa yake ndogo tu si amenuna, chukua goma lingine ili anune vizuri, mwanamke kubembelezwa lkn ukimbembeleza sana anakuona boya, vuta goma lingine jombaaaa, mim nina magoma yangu matano, akinuna m1 nahamia kwa mwingine, no stress at all.
 
Back
Top Bottom