mwarabu113
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 121
- 32
Wadau,
Mpenzi wangu amekua mtu wa hasira sana saivu,anaweza nuna siku nzima asikutafute kwa jambo dogo tu,na hivi juzi tumeachana kwa kisa kidogo tu.
Nlikua busy kidogo kwa siku2 sikumtafuta kwenye simu na yeye hakunitafuta pia,siku ya 3 asubuhi nikamtext bebee nilichojibiwa unasemaje then yakafata majibu ya ovyo na hakutaka nimtafte tena.
Kumuulza sababu akanjbu kamuulze uliekua nae mpaka ukanisahau mimi kiukweli nikawa namshangaa tu, sasa wakuu hichi kisirani anatoa ap? Na mpka sasa kanuna na hataki hata nimtafute.