Hasira hasara!

Hasira hasara!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Jamaa kafika nyumbani kwake,kakuta mlango wazi,kazama moja kwa moja hadi chumbani,akamkuta mkewe na rafiki yake kitandani wako uchi wa mnyama kama walivyozaliwa.Jamaa kwa hasira akampiga risasi na kumuua rafiki yake.Mkewe huku akivaa nguo akasema,'kwa mtindo huu utaua marafiki zako wote!".
 
anamaanisha chakula chake ni rafiki za mumewe wakiisha anaweza kuhamia kwa ndugu cjui itakuwaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom