Hashimu Rungwe: Mbatia ni Kibaraka wa CCM na ni Dikiteta Kulinda Maslahi ya CCM!!!

Du huyu jamaa si alifukuzwa chuo UDSM,huo uinjinia wa maji kausomea wapi? Au rwegarulila water institute(chuo cha maji)?
 
Hicho kiswahili chako, nakuomba urudi shule ukajifunze Kiswahili.
 

Wewe Muha toa Huha wako hapa, kwanza kajifunze Kiswahili ndio uanze kuandika!!! Huyo Rungwe alikuwa wapi kuyasema hayo, hadi anasubiri yamkute yaliyo mkuta? AKILI ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZAKO!
 
Story inaeleweka bana!!
Mwandishi ametumia Style ya Gazeti la Majira ambapo majina ya Kizungu yasiyotafsirika hua yanaandikwa kama yanavyotamkwa!!
Sasa wabongo kwakua kila kitu mnajua basi kazi kukosoa tu!!!
 
Kama mambo yenyewe ndo haya tunaweza jikuta hatuna vyama vya upinzani
 
[h=2]Uteuzi wa Mbatia zaweza kuwa Mbinu Chafu za CCM[/h]
Ha ha ha ha ha ha ha! Au ndio utekelezaji wa masharti ya Cameroon? Si unajua kuna vuguvugu kali sana likichagizwa na mataifa makubwa kwamba haki za wale jamaa zitambuliwe hadi kwenye vyombo vikuu vya maamuzi ya nchi kama sharti mojawapo la kupewa misaada? Unafikiri hali ya kiuchumi ilivyo bila misaada kuna kitu?

Mimi nina mashaka sana na hii tekniki aliyotumia JK kuwafumba macho wazungu kwamba Tz inaheshimu sana haki zao - tazameni hata mjengoni wamo! Wallahi tumikwisha! Huu umaskini utakuja tufikisha pabaya bandugu. Haki ya mama tutaanza kusikia miswada ya kise*** mjengoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…