Hashimu Rungwe: Mbatia ni Kibaraka wa CCM na ni Dikiteta Kulinda Maslahi ya CCM!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hashimu Rungwe: Mbatia ni Kibaraka wa CCM na ni Dikiteta Kulinda Maslahi ya CCM!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwamakula, Dec 15, 2011.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  HASHIMU RUNGWE AMESEMA JEMUS MBATIA NI KIBARAKA WA CCM NA NI DIKITETA Mgombea wa Urais Mwaka 2010 Hashimu Rungwe amesema Jemus Mbatia ni Kibaraka wa CCM, kwa kuwa wakati wa Uchaguzi alimwambia yeye kama mgombea wa Urais asimushambulie sana Mgombea wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete bali afanye hivyo kwa Mgombea wa Chadema Dr. Wilbroad Slaa. Kauli hiyo ya Mbatia ilimusababisha Rungwe ambaye ni Mwanasheria Kitaluma Kumwamwandia barua Mbatia Kutaka Ufafanuzi Zaidi, Lakini Mbatia Huyohuyo amepanga kumufukuza Uanachama. Tayari Rungwe amesha tangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa NCCR kumutoa Mbatia!!! Rungwe anasema Mbatia anaendesha NCCR kidikiteta kwa Maongozo ya CCM na hataki Mawazo ya Upinzani kujenga Chama kwa maslahi ya Taifa. Anasema Mbatia ni injinia wa maji kitaluma lakini hataki kufanya kazi ya taluma yake kama yeye anavyofanya kazi ya uwakili na kuchangia NCCR . Anasema akina Prof. Lipumba ni Wanataluma , akina Tundu lisu ni wanataluma, Akina Mabere Marando ni Wanataluma, lakini wote pamoja na kutumikia vyama vyao wanafanya shughulin za taaluma zao na kujipatia fedha zinazo inua vyama vyao. Sasa tatizo la Mbatia hajawahi kufanya shughuli yoyote ya taluma yake tangia apate nafasio ya uenyekiti lakini amekuwa na matumizi makubwa katika chaguzi mbalimbali ambazo wakati wote wa kampeni amekuwa akiwataka Wana NCCR kutowasema vibaya CCM na viongozi wake ambao ni wafadhili wake!!! .Tatizo la Mbatia ni kukaa kijiweni makao makuu na kutaka anyenyekewe kama mungu mtu na hata anapohitaji pesa kutaka kwa wabunge anafanya hivyo kwa udikiteta na wanapo mhoji anawajengea Chuki na kupanga njama za Kuwavua uongozi kabla ya kunyang'anya kadi za uanachama. Yupo Mbunge ambaye amemkopesha pesa zaidi ya 80m ambaye kwasasa ndiye silaha yake!!!. Mbatia ni Mshamba anadai yeye ni Mhandisi wa Maji Mbona hatumuoni akifanya kazi ya Uhandisi Wa Maji??. Hashimu Rungwe amemtaka Mbatia kujipanga na kunandaa Ushahidi kwenye kikao cha feb,2012 na sio kuendesha udikiteta na mbinu za kitoto za kuwafukuza wanao daui haki ya kugombea NCCR.
  Hashimu Rungwe amesema Mbatia katika Nyakati Tofauti amekuwa akisaini Cheki za 80m Kwa Mara nne kutoka kwa Watu wa CCM na kuendesha siasa za kuimarisha CCM zinazoua NCCR na kwamba harakati zote za kufungua Kesi dhidi ya Halima Mdee zimetokana na fedha hizo!!

  Amesema Mbatia hana Kazi yoyote ya kumupatia kipato zaidi ya kupewa na CCM na omba omba ya Wabunge walio madarakani ambapo amejenga Chiki ya kuwafukuza wanao mpinga!!


   
 2. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Jemus Mbatia alifukuzwa UDSM miaka ya Nyuma ktka migogoro na Serikali ya CCM lakini baada ya kukubali kuitumikia CCM alipewa fungu kubwa na kuanza jitihada ya kuitetea CCM na alikwenda nje ya Nchi kwenda kusoma na kupata kuwa Injinia Wa Maji!!!
   
 3. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  siasa za nchi hii kazi kweli kweli ila kwa yeyote anayekwazika na mapito haya ajiliwaze with this one "kwetu pazuri"-ambassodors of christ choir(remera-kigari)
   
 4. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  cdm no mbatia
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Mbatia ni.....

  [​IMG]
   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
 7. Shenkalwa

  Shenkalwa JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata wewe unashangaza kuyasema haya leo. Kwa kukubali ushauri wa mwenyekiti wako wa kumshambulia Dr. Slaa wa cdm wakati wa uchaguzi mwaka jana badala ya ccm umejiunga na vibaraka wa ccm. Kwa hiyo na wewe umekuwa kibaraka wa ccm. Kama sio huo mgogoro wenu usingeyasema haya.

  Kwa watu wanaofikiri kwa vichwa siku nyingi tumeshang'amua kuwa James Mbatia ni pando la ccm katika upinzani na anapokea mshahara kwa kazi hiyo. Sio siri kwa sababu matamshi yake ya mara kwa mara na jinsi anavyoiwekea mipaka nccr mageuzi ni wazi yuko hapo kwa kazi maalum aliyotumwa na ccm.

  Hata hivyo hayuko peke yake aliyepandikizwa na ccm katika vyama vya upinzani. Karibu kila chama kina mapandikizi haya yanayojiita wapinzani kumbe ni wasaliti na vibaraka. Huko nccr yuko mbatia kama kiongozi wa vibaraka wa ccm. Ukienda cdm wako akina Zitto Kabwe, Shibuda na wengine. Ukienda cuf ndiyo usiseme tena maana wenyewe wamekubali kufunga ndoa kabisa. Ukienda tlp utamkuta Augustino Mrema kama kiongozi wa vibaraka wa ccm na wengineo. Hali kadhalika vyama vyote vingine vilivyobaki ni ccm tu.

  Upinzani kidogo uko cdm lakini na wenyewe ndiyo wamepandikiziwa vibaraka humo ndani na wasipoangalia wataangamia zaidi kwa sababu ccm inapanga kuwaingiza cdm baadhi ya viongozi wake kwa kisingizio kuwa wanaondoka ccm kwa sababu ya migogoro kumbe ni geresha yao waje kuwamaliza cdm. ccm ni wajanja sana. Augustino Mrema alikubali kuachia nafasi ya naibu waziri mkuu akatumwa kwenda upinzani kuvuruga tu na mpaka leo anapokea mshahara kutoka serikali ya ccm.

  Viongozi wa cdm kuweni makini. Tayari mnao vibaraka humo ndani na wengine wanakuja kaeni chonjo msipoangalia mtafikiri mmeibomoa ccm kumbe mmejimaliza.
   
 8. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Kumekucha huu ni wakati wa vyama kufa au kukomaa zaidi mwaka baada ya uchaguzi. Watu wanafunguka na kuchoka kudumisha fikra za mwenyekiti.
  Haiwezekani kila mtu amsingizie mbatia, kutakuwa na ukweli hata kama umetiwa chumvi
   
 9. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kaka fafanua bwana kwani kwa hiyo picha tunashindwa kuelewa kama una maanisha ni mtoto wa mkulima pia? Au una maana anamiliki mashamba ya mpunga au?? Refer kauli mbiu ya jamii forum then utekeleze!!!
   
 10. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Anachotaka Tuamini ni kuwa eti jamaa ni "Punga"
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  U mean rice,hahahah wali,ubwabwa?au wali?
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Punga ile ya bwabwa?
   
 13. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  umenena!!!!nakupa 5!!!!CDM NA SISI TUTOE MBOWE!!!!
   
 14. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hapo kila kit kiko wazi kuwa umwagiliaji maji ambao umefanyika hapo ni kazi ya engineer wa maji Kama Mbatia, ila yeye Matia anaikimbia hiyo kazi kwa fedha za ccm
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Dah,siasa bhana!
   
 16. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 841
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  kumbe Chadema huwa inapigwa vita na CCM na vya vingine vya upinzani kwa kutumiwa!
   
 17. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #17
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpaka 2015 lazima ajulikane mwanaume ni nani.
   
 18. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  [h=2]Mbatia alipewa milioni 50 na sabodo uchaguzi 2010 [/h]
  Habari zimevuja kuwa James Mbatia alipewa milioni 50 na Mustafa Sabodo kwa ajili ya kusaidia kampeni za NCCR - MAGEUZI mwaka 2010, lakini hakuzifikisha katika mfumo wa Chama, baada ya kuvuja kwa siri hiyo, baadhi ya viongozi walimfuata Mzee Sabodo ambaye alithibitisha hayo na walipomuuliza Mbatia juu ya hilo akasema ni kweli Sabodo alimpa milioni 20 si kama mchango bali alikikopesha chama na tayari wao na Ruhuza wamekwishamlipa Mzee Sabodo. Waandishi twawaomba mfuatilie suala hili kwa kuwauliza Mbatia, Sabodo na Ruhuza ili kuweka mambo hadharani na kuleta uwajibikaji wa rasilimali za wapenda demokrasia nchini. ​
   
 19. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  inaonekana mbatia ana ushawishi mkubwa hadi anapewa mahela na kila mtu,.mara sabodo,mara ccm,au anatumia upung* wake kuwaseduce
   
 20. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  hivi JEMUS ni nani vile?
   
Loading...