Hashimu Rungwe is latest intelligent political leader

hajapanic kakuchana live hapo
hujaangalia video umeropoka tu
ebo!
Sasa na wewe kwa akili yako hayo aliyoongea huyo kiongozi wa Chauma yapi mapya?

Angeongea huku anasupport argument zake kwa data ningemwelewa......hapo anapiga soga kama wanasiasa wengine tu
 
sijutii kumpa kura yangu Hashim rungwe, kwanza hana njaa kama wajinga wengi wasiomjua wanavyomzania, pili ni msomi na tajiri pia anajua kabisa nini anafanya, ila ninachosikitika tunaishi katika jamii ya hovyo kabisa, mahaba niuwe ya vyama na wagombea ndio yanatugarimu mpaka sasa.......

rungwe kaongea facts na reasoning yake ipo juu sana kaongea ukweli uliotukuka na si masikhara...

swala la reli bado ni utata mtupu, hadi zuma anaombwa akatusaidie kupata mkopo? kumbe kelele nyingi na mashauzi ya hapa na pale halafu hela zenyewe hazipo, watu wanashindwa kuelewa kua Zuma hana nguvu na ushawishi mkubwa kiasi hicho kama viongozi wanavyojiaminisha tayari huko kwao yupo kwenye matatizo makubwa ndani ya chama chake.......

tujiongeze hapa kuna uwezekano mkubwa hizi ndoto za alinacha zisitimie.... tuombe uhai tutashuhudia mengi.
viawanda bila malighafi? utaendelezaje viwanda bila kua na big plantations? kilimo cha kutegemea mvua? ndoto zingine bana daaah, ngoja niishie hapa nisijeitwa mchochezi maana milion 7 parefu usawa huu.
 
dont be dumb!
you are not worth my arguements kwa vitu unavo ongea
 
Huyu bwana yupo poa sana, ajiunge na UKAWA apate hata jimbo kwanza.
 
dont be dumb!
your not worth my arguements kwa vitu unavo ongea
Hahaaa you must be suffering from schizophrenia lil man.

Your English is flawed with error. You could have asked your teacher for corrections before you post.
 
you must be suffering from Gender Dysphoria man or woman or whatever.

the error was corrected kitambo tu mbona.
 
Back
Top Bottom