Well said mkuu.... Kimsingi hii ndo Picha halisi ya jinsi hali itakavyokuwadaah! nime msikiliza jamaa halafu nimejiuliza hivi mtu JPM alichaguliwaje wakat kimawazo hata jamaa ana mpita!?
nilicho jifunza toka kwa Rungwe
1.hili neno serikali ya viwanda litakuwa slogan tu ya serikali bila chochote kufanyika kama ilivo kuwa kilimo kwanza kwa kuwa hakuna mioango yeyote madhubuti ya kisera isipokuwa ni wazo tu la rais ambalo lina semwa semwa pindi akiwepo
2.hata ukijenga barabara za juu kam hutoi huduma muhimu kwa uhakika kama maji na elim kwa ubora uchumi wako unakuwa hauendelezi watu kwa hiyo ni uchumi usio na faida yeyote ya kudumu kwa maana ya maendeleo ya watu kwa ujumla.
salute Rungwe, nimegundua nchi yetu tungekuwa tuna wapa attention watu tunao wapuuzia kama kina Rungwe tungeweza ku solve matatizo madogo madogo mengi tu yanayo tukabili kama taifa.
Unapanic nini ndugu?Kusoma hujui hata kuangalia video na kusikiliza alichoongea unashindwa wewe lofa.
Sorry i mean pilau rice!Ahahah..... Mkubwa ongeza kidogo ..... Just a plate of rice??![]()
![]()
![]()
hajapanic kakuchana live hapoUnapanic nini ndugu?
Did you eat stupidity for dinner?
Haya jibu swali maneno ya huyo Rungwe ndiyo yanamfanya awe bora zaidi ya wengine?
Heta hoja siyo viroja
Maneno ya Trump yamefanana na vitendo vyake. He was preaching shit and that's exactly what he is giving them...SHIT!Hana tofauti na Trump, maneno ya naweza kuwa ya kupendezesha, lakini haya endani Na ukweli au nia ya dhati
HahahaaaaTokea uchaguzi wa 2015 Rungwe alikuwa anaongea vizuri na point nzuri kuliko yule Mgombea aliyekuwa anasema maneno matatu tu yaani elimu....elimu.....elimu..........
Safari ya MatumainiBado kuna safari kubwa ya Watanzania kutoka hapa tulipo kwa kuwa hatujitambui na hatutambui tunataka nini....!!!
Bado hatuna misingi ya kusimama kiutawala na kiongozi ndio maana tumekuwa wafuasi wa maoni ya wanasiasa ambao wananadi sera za vyama vyao......
Sisi Watanzania sio wanachama wa chama chochote bali ni wapiga kura tu.....
Ndo maana tunajiikuta tunampenda mwanasiasa fulani bila hata ya kuelewa hoja zake.....
Wengi hawajui hata katiba za vyama zao zaidi ya kufuata maoni na kauli za viongozi....ndio maana kuna tafsiri ya ULIPO TUPO......
Mwanachama aliyeisoma na kuielewa katiba ya chama chake vizuri na akakubaliana nayo hawezi akayumbishwa maoni ya kiongozi wake yalioko nje ya katiba....kwani katiba ndio muongozo na sheria mama....