Hasheem Thabeet's Journey In The NBA

hivi hiri rijamaa rina demu kweli?? Mh! inahitaji moyo!
 
Huyu jamaa anajua kilichompeleka huko,anaonekana kesha adopt tabia za mbele,as he seems sio muoga,na anajua kutumia position!!One love kaka!!
 


..kazi ndio imeanza sasa lakini naamini atafanya mambo!

Dakika chache zilizopita MEM wametoka kukandamizwa 127-116 kwenye OT na Sacramento Kings. Wako down 1-3 so far.

Takwimu za kijana sio encouraging kwa leo:

Pts: 0
Assist: 0
Rebounds: 0
Foul:1

& ame-make only one shot na kumiss, I didn't check the game lakini ni wazi kazi ipo kwa dogo.
 
Hata hivyo performance ya timu yake haitishi,ingawa tunamtakia azidi kucheza nba,atakuja kuimprove sana baadae.
 
unamkumbuka DIKEMBE MUTOMBO,, ALISHAWAHI KUSEMA, NO ONE CAN FLY IN MY HOUSE. SO DOGO INABIDI AKOMAE SANA SANA TU, JORDAN ALISEMA
NO ONE CAN FLY WITH ME I AM THE LEGEND.
 


MEMPHIS, TN - OCTOBER 12: Hasheem Thabeet(notes) #34 of the Memphis Grizzlies defends Dwight Howard(notes) #12 of the Orlando Magic on October 12, 2009 at FedExForum in Memphis, Tennessee

This pic says it all. But then again...Howard started the same road! As long as Hasheem believes...He can do it! There is no such thing as luck. The definition of luck is good preparation meeting right opportunity. Hivyo mh Hasheem...piga tizi, gym...then when the opportunity to shine comes, u will shine brighter than the stars.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…