Hasheem Thabeet: Mchezaji Mrefu NBA kwa sasa...

Hasheem Thabeet: Mchezaji Mrefu NBA kwa sasa...

Sasa hapo mbona wanawaaibisha wenzao...!??, mie sipigi nae picha vinginevyo akubali kukaa chini.au kuchuchumaa, hataki anaacha, anakosa promo ya kupiga picha na mie

unasima akwenye kistuli chini, halafu picha inapigwa kuanzia kiunoni kwenda juu
 
HASHEEM1.jpg
 
Hivi bado anaendelea kukua kama yule tolu wa Gombs.?
 
He's currently standing at 7feet 3inches tall....hakuwi tena zaidi ya hapo maana sidhani kama ana matatizo ya growth hormones...yeye ni natural born giant

ngoja tusubiri mwakani watakavyo mpima tena
 
Back
Top Bottom