Dah! Sikupata fursa ya kuisikia hiyo interview... ni very stupid response! Ndo matatizo ya unaanza kuangalia hadi mwisho wa mwaka unakuwa na kiasi fulani; halafu unaanza kuhesabu washikaji wa Sinza na Kinondoni kuangalia ni nani anaweza kuwa na kiasi kama hicho! Yaani ki ukweli ndo vile tunalazimika kumuombea Mungu lakini Hasheem alijisahau sana! Huku kushituka alikoshituka sasa angefanya mara baada ya kutoka Memphis Grizzlies; hivi sasa jamaa ingekuwa kesharudi NBA! Kwanza body yake ni mtaji mzuri sana lakini alipoharibu ni pale alipodhani body peke yake ingetosha kumweka NBA!
Mungu akimchukua jeneza lake litakua balaaa unajua crouch nlikua namuona tall kumbe akija huku NBA ni kashotii tuu sababu ana 6.7Jamaa utadhani antenna...
Hahahaa!! Lakini kweli aisee, Shaq hatoshi kabisa kwenye TV!!!!Umeona eeh, Shaq ana 7'1" wakati Hasheem ana 7'3", unaweza kuona ni kwa kiasi gani Hasheem ni tall, maana ukimwangalia Shaq kwenye TV kwenyewe hatoshi.
Ngongoti kazaa hadi na matapeli wa dunia hapana chezea!Nakumbuka kuna interview alifanya Jahazi na kina Kibonde baada ta kuacha Portland Trail Blazers na kuchukuliwa na kina OKC, akaulizwa kwa nini timu zinamwacha, haoni kama kuna umuhimu wa kufanya jitihada zaidi ili aweze kudumu na timu kwa muda mrefu, yeye aliwajibu akisema hajali sana as long as mshiko unabaki ni ule ule (kwenye ule mkataba alikua na USD 1.2 m kwa mwaka na alikuwa amebakiza misimu 3 au 2 sikumbuki vizuri).
Sasa kwa mentality ile ilikuwa ni lazima haya yamkute, alichokuwa anajali ni pesa na kutumia, hope unajua skendo zake za hapa TZ, na kule majuu nako inasemekana ana watoto wanne au zaidi kwa mama tofauti tofauti.
Duh! Kwa 2011, ni umri ambao Hasheem anaukaribia na mshikaji ndo kwanza ana-fight for second chance! Tuna safari ndefu aisee!!!Yao ming alistaafu 2011
Na ndio maana mwisho nikatoa ushauri si vibaya akitupa jicho kwenye league zingine... ninachopenda mimi ni determination yake ya kutaka kurudi NBA... hii determination ndiyo itakayomwezesha kuwa bado active na kumwea rahisi hata akitaka kwenda kwenye ligi zingine! But all in all, hakuna kinachoshindikana... ni ngumu kupata second chance lakini wapo wanaopata!
haaa wewe bibi huku pia upo? we nomaTunamuombe kila la kheri kijana wetu.
Alipofika kwa Mtanzania si pabaya na hakuna Mtanzania wa kabla yake aliyewahi kufika hapo. Kwa kiwango cha NBA kwa basketball hakuna hata Mtanzania aliyewahi kufanya hivyo kwenye football.
Anastahili pongezi nyingi sana na kwa kuwa bado ni kijana mdogo tumuombee arudi kwenye viwango vinavyohitajika NBA. Inawezekana.
Yap mkuu.. Tuendelee kumsii akaze. Kuna timu zitahitaji huduma yake kwenye play offsHii post nilichelewa kuiona! Bila shaka uliiandika kabla sijakupa lile jibu kwahiyo nadhani jibu lishapatikana; au sio?
Teh..not much ila nachimbua chimbua mambo yao...si unajua wao ni kioo cha jamiiwitnesj yaelekea wewe wapenda michezo sana?
yah inapendeza sana, vipi unapiga tz mamii tuje tupashe?Teh..not much ila nachimbua chimbua mambo yao...si unajua wao ni kioo cha jamii
anapoteza mda tuu bora aende ulaya au chinaYap mkuu.. Tuendelee kumsii akaze. Kuna timu zitahitaji huduma yake kwenye play offs
Injury ndo zilimfanya jamaa atulie pembeni ila umri bado ulikua una ruhusu yan for 15 years aliyokaa NBA alifanya mengi n aliacha jina kubwa xna pale Houston rockets mpaka saiv akina James harden wanakuja kutembelea nyota yakeDuh! Kwa 2011, ni umri ambao Hasheem anaukaribia na mshikaji ndo kwanza ana-fight for second chance! Tuna safari ndefu aisee!!!
Mungu wangu! Kwa hiyo Hasheem ndo nitoleee?kwa tunaofatilia basketball kwa ujumla kuanzia college ball ya usa.. ueroleague na nba tunajua ukweli...
kupata chance ya kucheza nba kwa mara ya pili ni ngumu sana na sana...
maana kila mwaka kuna wachezaji kibao wanaisaka hiyo chance...
nba rules kila timu haitakiwi kuwa na wachezaji wanaozidi 15,, na nba ina team 30... so total.nba players per year ni 450 tu...
sasa kuna wachezaji maelfu na maelfu kuanzia usa kwenyewe na duniani kote wanagombea chance kila mwaka...
ni rahisi sana kutokea euroleague na kuingia nba kuliko kutokea d league kuingia nba
Ni pungufu ya inchi 6 mbele ya Hasheem!!!! Hizo inchi 6 ukimpa Lulu Michael, atakupa chochote utakacho!!!Mungu akimchukua jeneza lake litakua balaaa unajua crouch nlikua namuona tall kumbe akija huku NBA ni kashotii tuu sababu ana 6.7
Na kwa physique ya Yao, hata kwa 35 bado angeendelea kuwa fit.Injury ndo zilimfanya jamaa atulie pembeni ila umri bado ulikua una ruhusu yan for 15 years aliyokaa NBA alifanya mengi n aliacha jina kubwa xna pale Houston rockets mpaka saiv akina James harden wanakuja kutembelea nyota yake
ahahahhhaNi pungufu ya inchi 6 mbele ya Hasheem!!!! Hizo inchi 6 ukimpa Lulu Michael, atakupa chochote utakacho!!!
Mungu akimchukua jeneza lake litakua balaaa unajua crouch nlikua namuona tall kumbe akija huku NBA ni kashotii tuu sababu ana 6.7
1.2 USD kwa marekani ni vihela mbuzi / vijisenti! Na ukiweka na gharama za US utaomba poo!Dah! Sikupata fursa ya kuisikia hiyo interview... ni very stupid response! Ndo matatizo ya unaanza kuangalia hadi mwisho wa mwaka unakuwa na mpunga kiasi gani; halafu unaanza kuhesabu washikaji wa Sinza na Kinondoni kuangalia ni nani anaweza kuwa na kiasi kama hicho! Yaani ki ukweli ndo vile tunalazimika kumuombea Mungu lakini Hasheem alijisahau sana! Huku kushituka alikoshituka sasa angefanya mara baada ya kutoka Memphis Grizzlies; hivi sasa jamaa ingekuwa kesharudi NBA! Kwanza body yake ni mtaji mzuri sana lakini alipoharibu ni pale alipodhani body peke yake ingetosha kumweka NBA!
Basi atakuwa mjinga manake umri nao unaenda na inafika wakati mtu unatakiwa kusahau mambo ya career na kuangalia maisha. Sasa aking'ang'ania NBA hata NBA isipomtaka, itafika wakati hata value ya ligi zingine hatakuwa nayo. Mbaya zaidi, hadi sasa timu ambazo zilijitokeza kwenda kumcheki ni chache mno manake hata usipopata sign up, lakini zikijitokeza timu nyingi kukufuatilia. angalau inaweza kukupa matumaini kwamba "maybe next time...!"Ukiisoma article yote juu ya kutaka kurudi kwenye game kuna mahali yeye mwenyewe anasema hataki kwenda ligi nyingine zaidi ya NBA, hii ego inaweza kumcost in a sense kwamba NBA timu zisimwite na wakati huo huo umri unaenda na huko ligi za nje zimkache pia.