Mkuu vipaji huwa havijifichi,huyu jamaa kuna sehemu tu hapa katikati atakua ali messup,unavyosema jamaa alipata bahati umakose kwani nba sio kama footbal kua mascout wakilizika na kiwango chako basi dirisha la usajili likifka unasajiliwa haijalishi unatokea wapi,kwa nba ni razima uwe unasoma chuo huko wanafanya drafting then mnachaguliwa,nadhani hizi process hasheem alizipitia zote,so hakuna cha bahati hapo.watanzania tujifunze kukubali watu kwa mazingira ya hapa home hasa kwa mtu kama ambaye anatoka kwenye middle class family haikua rahis kwake kutoboa mpka kikidunda nba,inawezekana ikapita miaka mingine 50 ya uhuru kumpata mtanzania mwngne atakae kidunda nba..the guy dd a great job mambo yenyew ni ya kizalizali tu hakuna aliye kua anategea.inatosha rudi om upumzke,u made us proud and u made our country famous in the world of basketbal.
How, the guys is useless contrary to how he is perceived in Tazania. Yaani ni bogus kinoma na anatia haibu kumuona akicheza.
Hata Michael Jordan aliwahi achwa katika usajili,,inatokea,,akaze tuu home boy.
hiyo bahati aliyopata haitumi ipasavyo.....ila ukweli hana...talent ya kuzaliwa tz kulikuwa na watu wana vipaji vikali vya kikapu lakini walishindwa onekana hadi kupelekwa huko nba...mpaka leo vipaji vimepotea kabisa
How, the guys is useless contrary to how he is perceived in Tazania. Yaani ni bogus kinoma na anatia haibu kumuona akicheza.
Too bad. Lakini wataalamu wa nba na wa huku nyumbani wanasema alibweteka. Wenzake wakiwa wakipiga tizi wakiwa free yeye ndo anakuja bongo anafanya anasa. Kimechangia pia
Mademu, pombe, kujiona, sifa za kijinga kumechangia kuua kipaji chake.
Mademu, pombe, kujiona, sifa za kijinga kumechangia kuua kipaji chake.
Wale wale, haters. Tanzania tunamuona jembe, kama nchi yenu hamum-perceive vizuri si kosa lako. Umri bado unamruhusu.
Timu ya Kikapu ya Pistons imemtema Mchezaji wake kutoka nchini Tanzania, Hasheem Thabeet ambaye amejiunga na Pistons mwezi septemba akitokea klabu ya Philadelphia iliyokuwa imemchukua kutoka Oklahoma City Thunder. Alicheza dakika tano tu katika mchezo mmoja wa pre season na katika mwezi huu amecheza dakika tano tu dhidi ya Washington Wizard huku akikosa jaribio lake moja na kufunga. Pamoja na Hasheem Thabeet wengine waliofungasha virago ni Brian Cook, Lorenzo Brown na Josh Bostic.
Wale wale, haters. Tanzania tunamuona jembe, kama nchi yenu hamum-perceive vizuri si kosa lako. Umri bado unamruhusu.
Bro nilishawahi kupost humu ndani kuhusu performance za huyu jamaa na jinsi zilivyo chini ya kiwango alichotarajiwa nikaishia kuitwa hater. When all I said was just how he was not performing in accordance with his ability. Yaani it's disappointing kwa sababu I really wanted him to do well, just see how much Mutombo is respected in the league and by his peers or how Ibaka is reppin Congo (although he plays for Spain), that could have been us getting all that positive attention.
HATERS.... :A S-eek:
Mkuu usipende kuchukia ukweli, mbona Hasheem mwenyewe anajijuwa kuwa yuko useless? Si mimi tu mbona hata supporters wa hizo team alizochezea Hasheem wanamlalamikia kijana wenu na kumcheka, ila wewe unakasirika, why? Hasheem amechezea Houston Rockets, Oklahoma Thunder, na pote huku he never had any impact na hakudumu kukaa kwenye hizo timu kutokana na kuwa useless, sasa wewe ni kitu gani unachopinga?