Hivi mlitaka Hashimu aishi life style ipi ili mridhike?Mimi naamini UpAnd Down ni kitu cha kawaida katika maisha.Jamaa atabaki kua na sifa ya kipekee kama mtanzania wa kwanza kucheza NBA.
Mkuu,hajawahi kua na NBA career yoyote respectable since day one...
We could give him a pass kama angekua na some basketball in him,but zero....
Tatizo sio maisha mazuri...wewe upewe hela tu halafu on court production ni zero???
Heri mr nice alikua na talent,na alifika pick ndio akaanza kuloose....watu wana get it wrong,Hasheem has never played basketball in the NBA in serious terms...he was a chronic career benchwarmer
Hasheem hajawahi kupanda skills kokote maisha yake ya NBA yote labda useme kuna kupanda na kushuka....jamaa ni career looser,never prove shit on court
Mkuu LebronWade watu wa hivi mi nimeamua kuwa ignore. Kama huyu DIUNATION yaani hakuona thread nzima tukisema kuwa tunaangalia uchezaji wake na tunatoa maoni kwa kile tunachohisi kimechangia kwa kutofanikiwa kwake kimpira lakini pale pale bado mtu anaona tuna-hate!? Mimi naona watu wengi hawaelewi the significance of the draft system and just how big of deal it was kwa jamaa kuwa drafted 2nd overall. Maana wangejua just how big of a fcuking deal it is to be drafted that high and the type of players he was drafted with wangeaza kuappreciate just how big of an embarrassment it is for this guy to be out of the league so soon. Thabeet is now easily in the top 5 biggest draft busts of all time, considering how good the draft class he was drafted in turned out to be, maana I don't think we've seen as good a draft year since the 2003 draft.
Ana mradi wa kuchemsha ma t-shirt na ndugu yake na kutia nembo za kimjini kama "Haters watanikoma", "Hasheem The Dream", nk.

..hilo si tatizo hata olajuwon alibadili toka Akeem mpaka Hakeem
Mtanzania pekee aliyekuwa akicheza basketball katika ligi ya marekani hivi sasa hana timu baada ya kutemwa detroit pistons...kwanza hasheem alitemwa na oklahoma city thunders mwishoni mwa msimu hu lakini akapata bahati ya kuchukuliwa na philladefia 76ers ambayo hata hivyo hawakuridhika na kiwango chake hivyo wakamwacha..ndipo detrot wakaamua wamjaribu lakini hawakuridhika naye baada ya kucheza mechi moja ya majaribio kwa dakika mbili tu..
WHAT NEXT
wataalamu wa mchezo hu wanamshauri labda akacheze ligi ya china (CBA) au nchi nyingine ulaya ambazo sio ngumu kama NBA ama arudi bongo kwenye bongo movie..ama atumie $16 million alizovuna NBA aanzishe biashara
Kuna watu wanajibweteka kwa kupata mafanikio kidogo tu na hii imemkumba Hasheem. Hapa JF alipewa maoni yote ya jinsi gani anatakiwa ajitahidi na kuheshimu kazi maana kwa wenzetu longolongo za kitanzania hawataki. Sasa ajipange upya.
Daa!! Umenipeleka mbali kiduchu umenikumbusha kina Alonzo Mourning wa Charlotte, Tree Rollins, Otis wa Rockets, Miami walikuwepo kina Alan Ogg, Grant Long, Milos Babic.Mkuu mbona wana kibao walikua hata zoezi hawaendi [refer Iverson 'practice' rant]...pia Shaq alikua mvivu sana wa mazoezi [refer his overweight issues] [he would have been the most dominating centre in history and make Wilt and Kareem look like sissies],
Pia Gary Payton late in his career alikua anakacha sana zoezi kipindi P. Riley ni headcoach...wakorofi na wahuni wote akina Shawn Kemp,Dennis Rodman,nk..ila kwenye court walikua wana deliver kisawasawa....
Sasa,kwenda club,na kufanya uhuni sio excuse....the bottomline is,mwana hana ability za kikapu kwenye damu!
Mmmenye,ndugu yenu jamaa walikosea,walidhani he would be a worthwhile investment..it is proven he is a failed project..kikapu hamna mle hata akilala gym...
Hushangai msela ni 7.4ft wakati mshua [RIP] wake nasikia alikua 5ft wakati mama ni 6.1ft?Ile ile Gingantism Gland ilivuja bahati mbaya ndio maana akapata growth spurt out of proportions...kaka yako Jay-Z anasema "Your whole career is an accident"
Ni kama kuna dogo mmoja Ilboru alikua anasoma balaa,halali mpaka asubuhi on daily basis bado akataga!