Ujumbe wa mwaka 2017Hahahahahahaahahahah aseee ni ukweli mtupu na inaumaje ? ila sasa kale kabint kweli unazani nirahis kwa haya maneno yako ya reja reja mimi niamue nimuache aende zake ? hapana umetupa jiwe gizan nakiri limenipata ila simwachi wife nampenda na kabinti nakapenda flan sio sana sijui kameniloga sijui na sijui picha litaishaje
Mchepu amka utaishi gizani mpaka lini Kama dini inaruhusu mwambie akuweke kwenye nuru ama hataki subiri atakuja wa kwako naamini ukijituliza wapo tele ndege wetu hawa.
Sasa utakua ushajua kupenda. Ulianzisha hadi uzi kuuliza kupenda kukoje....umetupa jiwe gizan nakiri limenipata ila simwachi wife nampenda na kabinti nakapenda
Nimefurahia kujua kua umejua kupenda mpaka umefunguka mimi napita niko mtaa wa pili hapo siasani.wewe usikariri sio kupenda ile kujiachia sanaaa hapana jidanganye sasa
Hahaha jf kiboko ya wanafki inawatumbua tu
Eeeeh mkuu em funguka kidogo mke wa mchungaji Lusekelo yamemsibu yepiiMbona bi mdogo wa machache anakula raha kwa uhuru tele miradi anayo watoto ndo hao na bonge la nyumba kajengewa, washauri wakiwa na waume za watu waangalie ana upendo kweli ampe miradi yake nyumba ya jina lake na asiwe bahiri, na wanawake wakiolewa wasibweteke kisa pete na karatasi eti ndoa hawezi kuniacha, kamuulize mke wa mchungaji lusekelo