Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Wewe unatumiaNimewahi siti ya mtu.....Ila pombe ni tamu jamani duuuhhh
Karibu mkuuAisee mimi nimeacha pombe toka jana saa tano ucku,lakini mwili wote hapa ushagoma kufanya kazi
Nataka nishtue hata nachupa mbili tu
Ina alcohol ngapi hii.Karibu mkuuView attachment 788557
Hawajaandika but kwa jinsi invyoshuka itakuwa na 15%Ina alcohol ngapi hii.
Aisee mimi nimeacha pombe toka jana saa tano ucku,lakini mwili wote hapa ushagoma kufanya kazi
Nataka nishtue hata nachupa mbili tu
mbona alcohol kidogo sana!Nagonga hapa kitu kinaitwa "Uganda warka" ina 45%Hawajaandika but kwa jinsi invyoshuka itakuwa na 15%
Aise baba whisky hapana mzee... mimi ni beer na hii kitu hizo spirit nimewachieni....mbona alcohol kidogo sana!Nagonga hapa kitu kinaitwa "Uganda warka" ina 45%
Hii naiheshimuIna alcohol ngapi hii.
Ilikufanya nini mkuu [emoji38][emoji38][emoji38]Hii naiheshimu