pocha2 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 890 Reaction score 396 Jun 26, 2020 #1 Kama ushawahi poteza tairi, shockup, ball joint, rim, ajali mbaya kutokana na shetani mashimo wa barabarani leta uzoefu wako hapa. Tupe location ili Serikali kupitia TANROADS ikaweke alama sehemu hatari zote.
Kama ushawahi poteza tairi, shockup, ball joint, rim, ajali mbaya kutokana na shetani mashimo wa barabarani leta uzoefu wako hapa. Tupe location ili Serikali kupitia TANROADS ikaweke alama sehemu hatari zote.