Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Hello Great Thinker ni hasara gani Mrusi amepata kwenye hivi vita .na ni faida gani ameshapata kwenye hii vita ?
Pumbavu lile zidumu fikra za mwenyekiti.Hello Great Thinker ni hasara gani Mrusi amepata kwenye hivi vita .na ni faida gani ameshapata kwenye hii vita ?
Kuijenga kivipi? Kama ni miundombinu mbona kuna matrillion ya warusi yapo ulaya yamezuiliwa, na yametengwa mahususi vita ikiisha Ukraine ijengwe upya, hujajua hili boss?Ukraine kapata hasara sana kijamii na Urusi kapata hasara sana kijeshi. Vita ikiisha itachukua muda mrefu kuijenga Ukraine
Unaijua hasara ya Ukraine Kijeshi?Ukraine kapata hasara sana kijamii na Urusi kapata hasara sana kijeshi. Vita ikiisha itachukua muda mrefu kuijenga Ukraine
Ha ha kwamba mansion la Abramovich liuzwe zijengwe nyumba huko ukraine?nchi zote zulizoshikilia hizo mali wanatarajia kuingia gharama kubwa sana za kisheria kuthibitisha uhusika wa hawa ma oligarchs katika uhalifu kitu ambacho hakiwezekani, sana sana zitaishia kulipa fidia, kuzilinda hizo mali na kuhakikisha maintenance is on time, mpaka sasa hivi hazijaacha kuwa mali za hao watu ila wamezuiwa kuzitumia, tofautisha kitu kuwa seized na sanctioned, sanctions can be lifted na maisha yakarudi kawaidaKuijenga kivipi? Kama ni miundombinu mbona kuna matrillion ya warusi yapo ulaya yamezuiliwa, na yametengwa mahususi vita ikiisha Ukraine ijengwe upya, hujajua hili boss?
Majengo mengi sana yatahitaji pia repairness na sio kuanza upya kabisa. Kama mpaka sasa tu anapewa misaada mizito kiasi hiki, atapewa misaada pia kuijenga nchi yake zelensky.
Mkuu, nchi za Ulaya na US zina pesa, pesa chafu. Hao akina France, UK, Italy, German wamemuacha mbali saana Russia kifedha, US usimzungumzie kabisa.
Unadhani Ukrain itajengwa kwa pesa za tozo ya miamala ya M-pesa hadi ichukue muda mrefu kujengwa tena?Ukraine kapata hasara sana kijamii na Urusi kapata hasara sana kijeshi. Vita ikiisha itachukua muda mrefu kuijenga Ukraine
Huna akili wewe Ukraine hajapata hasara kijeshi hv unamdanganya nani?...Ukraine kapata hasara sana kijamii na Urusi kapata hasara sana kijeshi. Vita ikiisha itachukua muda mrefu kuijenga Ukraine
Mkuu dunia haiendeshwi kienyeji kama unavyo fikiri hakuna hela ya bure atakaye pewa Ukraine kwa ajili ya kujenga nchi yake bali ni mikopo ambayo atatakiwa kuilipa.Kuijenga kivipi? Kama ni miundombinu mbona kuna matrillion ya warusi yapo ulaya yamezuiliwa, na yametengwa mahususi vita ikiisha Ukraine ijengwe upya, hujajua hili boss?
Majengo mengi sana yatahitaji pia repairness na sio kuanza upya kabisa. Kama mpaka sasa tu anapewa misaada mizito kiasi hiki, atapewa misaada pia kuijenga nchi yake zelensky.
Mkuu, nchi za Ulaya na US zina pesa, pesa chafu. Hao akina France, UK, Italy, German wamemuacha mbali saana Russia kifedha, US usimzungumzie kabisa.
Kama wana uwezo wa kuzizuia hizo pesa watashindwa nini kuzitaifisha na kuelekezwa Ukraine?Mkuu dunia haiendeshwi kienyeji kama unavyo fikiri hakuna hela ya bure atakaye pewa Ukraine kwa ajili ya kujenga nchi yake bali ni mikopo ambayo atatakiwa kuilipa.
Hata hizi silaha ni mikopo na si kwamba anapewa bure vita ikimalizika atatakiwa kuilipa.
Kuhusu mali za Urusi hawawezi kufanya hivyo kwa sababu kisheria zile pesa zimezuiliwa tu na wala hazi jataifishwa.
Well saidKama wana uwezo wa kuzizuia hizo pesa watashindwa nini kuzitaifisha na kuelekezwa Ukraine?
Isitoshe Urusi ndiye iliyovamia Ukraine bila sababu zozote zile za msingi, ni wajibu wake kufidia na kujenga upya nchi hiyo.
Kuna mlolongo mlefu wa kisheria mpaka hizo mali kutaifishwa unaweza kuchukua miaka.Kama wana uwezo wa kuzizuia hizo pesa watashindwa nini kuzitaifisha na kuelekezwa Ukraine?
Isitoshe Urusi ndiye iliyovamia Ukraine bila sababu zozote zile za msingi, ni wajibu wake kufidia na kujenga upya nchi hiyo.
Hata kama ni mikopo lakini si Nchi itajengwa? Kwani kuna Nchi haina mikopo,mbona hapa kwetu tuna mikopo utitiri na wala hatujawahi hata kuwa vitani zaidi ya miongo mitatu,si bora wao wanakopa na kila mwananchi anajua kwa nini Nchi inakopeshwa.Mkuu dunia haiendeshwi kienyeji kama unavyo fikiri hakuna hela ya bure atakaye pewa Ukraine kwa ajili ya kujenga nchi yake bali ni mikopo ambayo atatakiwa kuilipa.
Hata hizi silaha ni mikopo na si kwamba anapewa bure vita ikimalizika atatakiwa kuilipa.
Kuhusu mali za Urusi hawawezi kufanya hivyo kwa sababu kisheria zile pesa zimezuiliwa tu na wala hazi jataifishwa.
Sahihi kabisa.Russia aends kuvamia aharibu Nchi ya wenzie halafu aondoke tu hivyo hivyo,hizo pesa ndiyo watazitumia kuijenga Ukraine na hatokuwa na la kufanya wakiamuaKama wana uwezo wa kuzizuia hizo pesa watashindwa nini kuzitaifisha na kuelekezwa Ukraine?
Isitoshe Urusi ndiye iliyovamia Ukraine bila sababu zozote zile za msingi, ni wajibu wake kufidia na kujenga upya nchi hiyo.
It doesn't matter,swala hapa mwisho wa siku hizo pesa wataamua waliozishikilia na si PutinKuna mlolongo mlefu wa kisheria mpaka hizo mali kutaifishwa unaweza kuchukua miaka.
Hasara kubwa kwa Russia ile meli ya kivita aliyokuwa anaitumia kwa vita vya Syria ambayo taifa la Russia likijivunia juzi imesharipuliwa na kuzamishwa fofofo.. lakini Russia imepoteza wanajesh takriban 20,000, majenerali 9 jumlisha na hasara isiyopungua $20m ambayo inawagarimu kwenye vita kwa siku moja lakini watoto wa Putini mali zao na fedha nyingi ambazo waliekeza benki ya ulaya zimezuiwa yasemekana Putini ndio huwatumia kumtunzia mali zake zoote zimekuwa muflisHello Great Thinker ni hasara gani Mrusi amepata kwenye hivi vita .na ni faida gani ameshapata kwenye hii vita ?
Hasara kubwa kwa Russia ile meli ya kivita aliyokuwa anaitumia kwa vita vya Syria ambayo taifa la Russia likijivunia juzi imesharipuliwa na kuzamishwa fofofo.. lakini Russia imepoteza wanajesh takriban 20,000, majenerali 9 jumlisha na hasara isiyopungua $20m ambayo inawagarimu kwenye vita kwa siku moja lakini watoto wa Putini mali zao na fedha nyingi ambazo waliekeza benki ya ulaya zimezuiwa yasemekana Putini ndio huwatumia kumtunzia mali zake zoote zimekuwa muflis
Na usishangae hela wanazofadhiliwa Ukraine toka Marekani ikawa ni mapesa yale yale ya Russia walizoekeza mabenki, ni vile Urusi wanakaangwa kwa mafuta yao.
Thanks manHasara kubwa kwa Russia ile meli ya kivita aliyokuwa anaitumia kwa vita vya Syria ambayo taifa la Russia likijivunia juzi imesharipuliwa na kuzamishwa fofofo.. lakini Russia imepoteza wanajesh takriban 20,000, majenerali 9 jumlisha na hasara isiyopungua $20m ambayo inawagarimu kwenye vita kwa siku moja lakini watoto wa Putini mali zao na fedha nyingi ambazo waliekeza benki ya ulaya zimezuiwa yasemekana Putini ndio huwatumia kumtunzia mali zake zoote zimekuwa muflis
Na usishangae hela wanazofadhiliwa Ukraine toka Marekani ikawa ni mapesa yale yale ya Russia walizoekeza mabenki, ni vile Urusi wanakaangwa kwa mafuta yao.