MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Japokuwa asilimia kubwa ya dunia tunaamini Dunia yetu ni kama TUFE, bado wako wengi na huku JF wanaendelea na Kampeni kuwa wenda Dunia ni Flat kama meza ya duara.Na kuna chama duniani Flat Earth Society kinachotimia mabilioni ya pesa kushawishi dunia nadharia hii.
Kujua sio suala dogo hata bendera ya Umoja wa Mataifa dunia imewakilishwa kwa nadhalia ya Flat earth hadi kesho haijulikani ni kwa malengo ya nani au walitaka kumaanisha nini.
Katika kipindi cha zamani ambacho watu wengi wakiongozwa na wasomi wa kigiriki waliamini Dunia ni Flat kulikuwa na Uvumbuzi mchache sana katika karibu nyanja zote.Imani hii ilisimamisha Maendeleo ya Sayansi na technologia Duniani maana iliongeza Hofu kwa jamii.
Watu waliogopa kama wakisafiri baharini watafika ukingoni na waanguke. Ukweli huu kuwa dunia ni kama tufe baada ya kugundulika,
1:Jamii ikaanza kuichunguza dunia kwa upeo mpya.
2:Safari za majini zikashamiri na ilipelekea maeneo mengi duniani kufahamika.
3:Biashara zikashamiri kutoka kona moja ya dunia kwenda upande mwingine. hata vasco da gamma akapata nguvu ya kwenda india kutafuta viungo kupitia afrika.
4:Mawazo na Ideas mpya za sayansi na Mahesabu zikaanza kushirikishwa kati ya watu mbalimbali wa dunia na kusababisha kuchochea spidi ya maendeleo ya dunia.
Masahihisho madogo katika fikra ongo za mwanadamu yakasababisha dunia ikapiga maendeleo ya kasi ya ajabu.
FUNDISHO;
Katika maisha nadhalia nyingi zinaweza kuwa ni za uongo au nusu ukweli na zikawa na madhara makubwa sana katika jamii.Miaka ishirini baada ya Uvumbuzi wa Darubini/Microscope, Wavumbuzi wa kiholanzi Akiwepo na Zacharias Jansen na Hans Lippershey (Baada ya kuwachunguza watoto wake waliokuwa wakichezea lenzi) wakavumbua kifaa walichokiita "Kifaa cha kuonea vitu vya mbali kana kwamba vipo karibu" au TELESCOPE. Muitaliano Galileo Galilei alikiboresha kifaa hicho na kikawa na uwezo wa kuona mbali mara kumi zaidi. Mwezi wa kwanza mwaka 1610, Galileo aliweza kuona miezi ikizunguka sayari ya Jupiter iliyokuwa ikielea. Na huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuwapa changamoto Wafuasi wa Mgiriki Aristotle ambaye Dhana zake potofu zilitapakaa ulaya nzima na hadi makanisani. Fikra za galileo zilizokuwa zikisindikizwa na Ushahidi ziliwaumbua waaristotle na Kuipindua Dunia ya Uvumbuzi na sayansi. Kuna haja ya kuyachunguza matatizo na changamoto zetu katika jamii zetu wenda chanzo cha changamoto nyingi zinaweza kuwa ni Ukweli nusu juu ya tunavyoviamini au mitazamo hasi tuliyorithishwa enzi na enzi.