Huyu jamaa ndio maana anachange gia angani kwa sasa anasema anataka kuchukua mafuta ya Iran sasa tujiulize pale yale mafuta ni ya Mrusi na Mchina je watamruhusu achukue kama walivyomuacha kule venezuela akajizolea sifa za kijinga .
Ameonba apewe $1.5 trillioni ya kumsaidia mchepuko wake nyau kwenye vita huku akisema hawana hela ya kusaidia matibabu ya wananchi wake
Waliomchangua wanaiona kila rangi
Kama ilivo operation ya kijeshi kule Russia vs Ukraine na Usiri wake sio mimi wala wewe tunaejua nini hasa kinachotakiwa na hizi operation za Kijeshi
USA vs Iran
Huku USA anakomaa kutangaza kapiga miundombinu ya Iran
Iran na yeye anatangaza kapiga Kambi za USA
Tujiulize nini hasa kinatakiwa na hizi operation?
Watu wanakufa
Mali zinaharibiwa
Nchi zinapata loss
Tanzania tumekumbwa na madhara yake, Je mwisho wake hasa nini?
Na baada ya hili nini kitaenda kuharibu/ kutikisa Dunia?
Ilianza
Covid > Russia VS UKRAINE > Israel VS Palestine > USA vs Venezula, sasa hivi tuko USA vs IRAN
Nini kinafata?