Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,074 Reaction score 110,767 Sep 15, 2018 #21 Nalendwa said: [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] Ni muda tu, nina uhakika una mambo mazuri sana. Nataka kuupitia kwanza.. Click to expand... Naomba unitumie tafasiri kule PM
Nalendwa said: [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] Ni muda tu, nina uhakika una mambo mazuri sana. Nataka kuupitia kwanza.. Click to expand... Naomba unitumie tafasiri kule PM
Nalendwa JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 7,466 Reaction score 13,031 Sep 15, 2018 #22 Ushimen said: Naomba unitumie tafasiri kule PM Click to expand... 😁😂😂 Nitajitahidi...lol!
palangana JF-Expert Member Joined Jan 14, 2017 Posts 506 Reaction score 450 Oct 27, 2018 #23 Hawa mabeberu washaishika ndevu serikali ilio madarakani, si ajabu wao ndo wana~fund ili iendelee kuwa madarakani ili wao waendelee kunyonya. Bila kupindua serikali ili mambo maovu yajulikane, tunajitekenya na kucheka wenyewe tu
Hawa mabeberu washaishika ndevu serikali ilio madarakani, si ajabu wao ndo wana~fund ili iendelee kuwa madarakani ili wao waendelee kunyonya. Bila kupindua serikali ili mambo maovu yajulikane, tunajitekenya na kucheka wenyewe tu
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 13,222 Reaction score 18,381 Aug 8, 2021 #24 Hivi tuliishia wapi kuhusu hawa wezi? Au mama-------?