:::::::Harusi:::::::::

nhm, mie naupenda wimbo wa aparakatumba, tumba....abhaaa...abhaaa, lol even my one year baby can dance this. kuchangamsha ukumbi, lol
 
This I Promise You - NSYNC
I Do Cherish You - 98 Degrees
Here and Now - Luther Vandross
I Will Always Love You - Whitney Houston
Kiss from a Rose - Seal
Tonight I Celebrate My Love - Peabo Bryson & Roberta Flach
Save The Best For Last - Vanessa Williams
When I Fall In Love - Nat King Cole
The Way You Look Tonight - Tonny Bennet
For You - Kenny Lattimore
 

Asante sana ....
 
BabaDesi alishawahi kutujulisha juu ya huu wa Patrick Balisidya na Afro 70 'Wana Afrosa'....Kibao kinaitwa HARUSI:

Kuoana ni jambo la sifa,
Na tena ni jambo la fahari kubwa,
Katika historia ya binadamu,


Ni shangwe isiyo kifani,
Kwa watu wawili waliopendana,
kuoana katika ndoa kamili,


Hivi leo Ndyanao na Saibaa mnaona,
Kumbukeni wazi mmetimiza ahadi yenu kwa mungu,\


Harusi mliyofanya ni kiapo kitakachowahukumu,
mara mtakapo jaribu kutengana,

Katika hali yoyote kaeni kwa amani nawausia,
Mpaka kifo kije kuwatenganisha x 2


(chorus)


Jaribuni kuwaepuka marafiki wabaya,
kwani huenda wakaipotosha ndoa yenu,
mkatenganaa, wakawadharau,


Wakumbukeni wazazi wenu wa pande zote,
watapopatwa na shida yoyote ile,
wasaidieni, mtapata baraka,


Kuweni na moyo wa mapenzi kwa mtu,
tena muwe wacheshi kwa kila mtu,
ni sifa kubwaa, mtaheshimiwa,


Kuweni wakarimu wakubwa nyumbani mwenu,
mzaapo watoto wenu muwatunze vyema,
wawe na adabuu, na heshima nyingii,
ndivyo walivyoishi wazazi wetu x 2




Patrick Balisidy aliutunga na kuuimba huu wimbo kwa ajili ya harusi ya dada yake Ndyanao kwa Saibaa kama anayowataja kwenye ubeti wa tatu.
 
Nyimbo ya taratibu i recommend huu:
..A Whole New World, a song by Peabo Bryson&Regina Belle

Mkuu umeniwahi,huu wimbo nilipousikia kwa mara ya kwanza mwaka 1992 nilisisimka mwili.Naupenda sana,ni kati ya nyimbo zilizonitumbuiza kwenye harusi yangu December 2010.
 
aiyeyeeeeeeeee, aiyeyeeee, aiyeyeeeeeeeee tanzania maua!
genda wibuleeee, genda wibule, genda wibule babili bana bijulee!

rudiarudia mara nyingi kadiri upendavyo,

hili ni papmbi la kabila la wajita wanaoishi huko Musoma. tafsiri yake ni kuwa nenda kazae watoto wawili, watoto wajazane nyumbani! ni wimbo wa kuombea baraka ya uzazi kwa maharusi siku ya ndoa yao!

Glory to God!
 

Mkuu unatisha,nasikia watu manaopenda aina ya hizi nyimbo mnajua sana kucare.....tete te teh
 

Asante Mwanajamiione kwa hizi beti maana huu wimbo naupenda sana lakini nilikuwa sijui kinachosemwa,Marehemu Patrick kilikuwa kifaa kweli kweli.
 
MwanajamiiOne;

Maneno mazuri sana
Naweza kuupata YouTube?
 

Sante sana
Miss Judy
 

Katika vitu ningependa kupangilia kwenye wedd. yangu ni music na ziwe swahili au lugha ya kigeni.

Wedding dance nitapenda nyimbo kati ya Machozi ya Furaha(JayDee), Time after Time(Cindy Lauper), So Amazing(Luther Vandross), End of the Road (Boyz 2 Men).

Pia mpangilio wa nyimbo nitapenda utegemeane na matukio kati ya muda na muda kwenye wedding.

AD una mipango wa harusi nini? all the best mamii)
 
Hajatulia tulia huyu dem ni mapepe - wa Kingwendu (huu unachangamsha sana)
 
<br />
<br /
Nela mtomage nani nela mtomage nani Gaga wamtola nelamtogage nani.. . . . . .. . . . . . . Kuvyala mayo kuvyala gawiza... . . . . . . . . . . Ndembele mulanda ndembele kana kane,kana kane ni kamo . . . Nyumbani ni nyumbani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…