Harusi za siku hizi vipi?

Nakushukuru maana wengi wao hapa wameonekana wanaifurahia hiyo hali ni kama siwaelewi kwamba are they serious au wanapenda kuchangia negative tuuu?
 
Ukichoka si unaondoka? Na iwapo shughuli inakuhusu kwa namna ambayo huwezi kuondoka mapema, mahali sahihi pa kuchangia jinsi ya uendeshaji wa shughuli ilikuwa kwenye vikao vya kamati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…