Yaani kuna haka kamtindo ka kwenye send of na wedding wenye sherehe kurefusha muda pasipo sababu..zamani muda wa zawadi ulikuwa ni mmoja wa kuwatunza maharusi tu...siku hizi hii stlye ya kila mtu atunzwe,mara,dada mkubwa,mara wa kati,mara shangazi,mara bibi inatoka wapi?si mkatunzane nyumbani?
unachohofia ni muda au idadi ya zawadi?Yaani kuna haka kamtindo ka kwenye send of na wedding wenye sherehe kurefusha muda pasipo sababu..zamani muda wa zawadi ulikuwa ni mmoja wa kuwatunza maharusi tu...siku hizi hii stlye ya kila mtu atunzwe,mara,dada mkubwa,mara wa kati,mara shangazi,mara bibi inatoka wapi?si mkatunzane nyumbani?
kwani si sherehe kila mtu anajua aiendeshe vipi, kwahiyo unataka unachifikiria wewe ndio na wengine wafuate etiiiii..... mara jana unasema tusisome vyuo visivyo na majina kwa hiyo kama wewe umesoma havard unataka disie pia tusoma hukohuko.
Ni wastage of time.
Mwengine anakuja amebeba kitenge kimoja mwengine amebeba mwiko nae atajwe dah!
Yaani kuna haka kamtindo ka kwenye send of na wedding wenye sherehe kurefusha muda pasipo sababu..zamani muda wa zawadi ulikuwa ni mmoja wa kuwatunza maharusi tu...siku hizi hii stlye ya kila mtu atunzwe,mara,dada mkubwa,mara wa kati,mara shangazi,mara bibi inatoka wapi?si mkatunzane nyumbani?
unachohofia ni muda au idadi ya zawadi?
Fanya yako ndo mkatunzane nyumbani.... kama suala ni kutunzana nyumbani basi msisubiri sherehe... nyie tunzaneni hivyo hivyo..Yaani kuna haka kamtindo ka kwenye send of na wedding wenye sherehe kurefusha muda pasipo sababu..zamani muda wa zawadi ulikuwa ni mmoja wa kuwatunza maharusi tu...siku hizi hii stlye ya kila mtu atunzwe,mara,dada mkubwa,mara wa kati,mara shangazi,mara bibi inatoka wapi?si mkatunzane nyumbani?
wasiwasi wako ni muda? kipindi hiko ushakula na kunywa inuke wende zako maana tunajua wengi wenu hambebi zawadi, mkipeba ni kadi tu! labda inakukera kwa kuwa unasubiri lift yakuondoka nayo na mwenye gari anakwambia anakaa hadi mwisho....!
hata mimi nilitaka kuwauliza kama wewe...sherehe ni full kusherekea ...hadi kuku wa familia anatuzwaKama umeamua kufanya sherehe haina budi kukubaliana na mambo yote. Sioni shida yoyote katika hilo kwani wamekuja hapo kukupongeza wewe.
Na kama ulikuwa hutaki zawadi zao si bora ungewaambia wasije na zawadi ili kuokoa muda.
BTW hebu niambie ni nini maana ya sherehe.
Kama umeamua kufanya sherehe haina budi kukubaliana na mambo yote. Sioni shida yoyote katika hilo kwani wamekuja hapo kukupongeza wewe.
Na kama ulikuwa hutaki zawadi zao si bora ungewaambia wasije na zawadi ili kuokoa muda.
BTW hebu niambie ni nini maana ya sherehe.
Ni vizur ukaacha kuchangia au changia hlf usiende. Usitake kufanya sherehe kama mtihani. Muda ni mali hata kama ni usiku.