Harusi yangu.

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,244
A wedding day will be remembered for all the joy it brings,
a day of love and happiness of vows and wedding rings.

A day of new beginnings - learning what love truly means.
Our wedding day is just the start of many hopes and dreams.

I can't wait,this is my year!!
 
kila la kheri kumbuka kutembea na spana ndoa ikilegea uikaze
 

Me too this is my year..

wedding bells zinapogongwa church means a blessed couple is ready to xchange vows and catch their hands together until death takes them apart,

A bride with a white dress + flowers on her hair ( mambo ya Mazzat mikocheni hair style premium package wapi lara 1)
while a groom with mtokelezeo wa hatariiiiii ( wapi martin kadinda) sipati picha mchungaji akisema sasa mkata kiu mkisi mkeo.......

Lara 1 atanunaje kadi yenyewe kaipata kwa zengwe ( jokin )
 

Maznat ilikuwa zamani siku hizi kitu ya GLAMBOX WEDING! ndo talk of the town! Google it! Hahahaaaaaa! Mi kanisani sijagi banaaa! Nitaibuka ukumbini! Kanisani roho inaniuma sanaa ukiwa unamake a mistake of ya life! And i cant stop you!
 
Haya bhana kila la heri mkuu....ila usiache kuja kutujuza utakacho kutana nacho huko...maake...mmmmmmh
 
Don't be too negative Kirachacha

Thats reality ndugu, ndio maana kwa wakristo kuna lile agano la ". . . . shida na raha".Harusi ni sawa na kununua ticket tu, ndoa ndio safari yenyewe. Kutakuwa na kona, milima, mabonde, makorongo n.k. Ukijiandaa kukabiliana na hayo yote kwa moyo wako wote na ukafanikiwa utafurahia ndoa yako, na siku ya harusi utafurahi kila ukiikumbuka, kinyume na hapo utaiona mbaya kuliko siku nyingine zote maishani mwako.

Kuwa mume mwema, timiza majukumu yako na Mungu awabariki we na mkeo.

All the best.
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi staili ni kuvuta....halafu tunakwenda kubariki ndoa kwa baba paroko...
 

ngoja wakina mzabzab tujekukugegedea mke wako ndio utajua utamu wa ndoa
 
Maznat ilikuwa zamani siku hizi kitu ya GLAMBOX WEDING! ndo talk of the town! Google it! Hahahaaaaaa! Mi kanisani sijagi banaaa! Nitaibuka ukumbini! Kanisani roho inaniuma sanaa ukiwa unamake a mistake of ya life! And i cant stop you!

Nimeshakugundua kumbe roho inakuumaga mwenzako akivishwa chana chema.
 
Haya bhana kila la heri mkuu....ila usiache kuja kutujuza utakacho kutana nacho huko...maake...mmmmmmh

Usiogope majukumu bana,kwenye ndoa naingia na
sidhani kama kuna ugumu kama mnavo dai
 

Asante sana mzee wa Kirachacha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…