Ndio maana hapa Mwanza huwa ninampinga MC Peter Nyamhanga ana tabia ya kuwadhalilisha wazee waliotoka "nyumbani" mara waambiwe wacheze Kwaito, mara wafungue shampeni, sipendi kwa kweli tabia za namna hiyo hata kama ni kunogesha sherehe.