madam shamim
Member
- Mar 10, 2017
- 9
- 2
2m inaweza kukufanikishia watu wakala hadi wakasaza...Hallo....naombeni msaada jamani kwa wenye experience na hizi mambo....kufanya harusi ya kiislam nzur na simple yenye watu 150 inaweza gharimu bei gan usawa huu
Unataka kuwafurahisha watu alafu mnaingia ndani hakuna chumvi wala sukari?[emoji23]Hallo....naombeni msaada jamani kwa wenye experience na hizi mambo....kufanya harusi ya kiislam nzur na simple yenye watu 150 inaweza gharimu bei gan usawa huu
Hahahah et bofroNunua bofro tu na chai ..View attachment 954435
Ebu nisaidieni bas huo mchanganuo wa 2.5 M jaman2m inaweza kukufanikishia watu wakala hadi wakasaza...
hahaha[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Hahaha!!!Nunua bofro tu na chai ..View attachment 954435
AsanteeeeAcha misifa itakayo kufilisi din yetu nyepes piga ndoa ya mkeka watu 10 chakula ni kashata na kahawa kazi imeisha
Best wishes mkuu over
nyumbani kukodisha matent na kupambaUkumbini au nyumbani?
Sisi tumetoka kumfanyia binti yetu imegharimu 3M ilikua ukumbuni na ilinoga!