Furaha ya kuoa hiyo mkuu
Mbona kama simuoni bwana harusi na bibi harusi hapo? Nahisi kama hao ni wasindikizaji tu, na wote wameheukwa haswa, labda tu kwa kuwa hawajafikia hiyo staili ya sarakari...Nayo nahisi itafikiwa muda si mrefu...
huyo miguu juu kichwa chini ndo bwana harusi na pembeni ni bibi harusi me ndo shuhuda wa hiyo harusi