Harusi nyingi zimekosa ubunifu... zinaboa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harusi nyingi zimekosa ubunifu... zinaboa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkonowapaka, Sep 7, 2012.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  To be honest kwa wale mnaohudhuria sherehe nying za arusi ni mashahid wa hili...mtiririko wa matukio umekua unafanana tofaut ipo kwa wahusika tu!!binafsi nakereka sana...kuona vijana wadogo tunabase kuandaa bajet kubwa za sherehe tunasahau kujipanga kutake the control...utofaut hapa sio ule wa mc kuamua zawad zianze kabla ya dinner..hapana..creativity fulan ivi inamiss..I once experienced it in one wedding though partial..come oon guyz!!ndo maana hatuvutiwi kuja..tunachanga tu!!weekend njema
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wachangaji nao wameanza pungua siku hizi sasa vijana itabidi tuache kuoa maana wachangiaji kwishney
   
 3. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,638
  Likes Received: 2,065
  Trophy Points: 280
  Kumbe michango ndio inafanya watu waoe?
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ah wewe unadhani hapa harusi tuseme kila anayeoa ata finance mwenyewe sherehe yote...unadhani ataonekana mtu ..sii matajiri tuu ndio wangekuwa wanaoa. average price ya harusi nzuri nasikia 7M. mishahara ya laki saba utaweza wapi
   
 5. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,638
  Likes Received: 2,065
  Trophy Points: 280
  Utaweza unajitutumua tu hapo ukiitisha kikao kama familia mnaweka mezani 1.5 alafu remaining balance mnatafuta kwa friend ikishindikana mnapiga ndoa kavukavu inawezekana tu kama tukibali mind set tu kwa ukitoka kanisani unaandaa drinks na kufahamiana ndani ya masaa mawili mnatambaa japokuwa changamoto itakuwa kwa mwanadada maana kinadada wengi wanapenda itifaki izingatiwe kuanzia kitchen party, send off mpaka reception
   
 6. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  bwana mbwembwe hizo fanya kama kweli wee mwenyewe una hela ya kufanya hayo mambo. sasa wewe mwenyewe mweupe unataka mchango watu wakibuma kutoa unasema wanaroho mbaya. fanya sherehe kulingana na uwezo wako. yaani inabidi sasa tuanze kuwa na mentality kuwa harusi ni ya kwako na kwamba wewe itabbidi ujipange kama wataka madoido
   
 7. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,638
  Likes Received: 2,065
  Trophy Points: 280
  kinachosikitisha mtu anaingia ukumbini kwa mbwembwe alafu akija katika uhalisia wa maisha ya kawaida baada ya ndoa ni tofauti, wazo zuri mdau kwani ndoa ni kuingia kanisani, msikitini na kwa mkuu wa wilaya, issue za sherehe ni nyongeza, hongera kwa kuliona hilo kwani wakati mwingine ndugu huwa wanalostisha wenzao wanakuingiza kwenye mtego wa sherehe alafu wengi si wachangaji
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nilifikiri mimi kuwa hii kitu ni boring.
   
 9. Root

  Root JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,309
  Likes Received: 13,019
  Trophy Points: 280
  Harusi za gharama huna nyumba ya kuishi yaani umepanga,kazi yenyewe haitabiriki kwanini ufanye kitu kikubwa kuliko uwezo wako?
  Being creative means having new ideas
  Inauma kutumia hela nyingi kuoa then ndoa inavurugika in a short time
   
 10. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Mna kazi kweli kweli, mimi nashukuru nimejiwekea utaratibu wa kutokuchangia arusi ya mtu yeyote labda ndugu yangu au mfanyakazi mwenzangu, tena kwa kiasi kidogo sana. kuna makaka wawili walioa kazini kwetu walinifurahisha sana tena, mmoja alirudi kutoka likizo tukamuona anaoendeza pendeza tukamuuliza mbona unapendeza kama umeoa? akasema ni kweli nimeona, haki ya Mungu hakuna alojua hilo sasa mtu tu kwa furaha unaamua kumnunulia zawadfi au kumsaidia chochote ambacho si lazima, mwengine yeye alioa akawaita watu 50 tu tena si lazima kuchangia, kwetu sisi pwani enzi hizo siku hizi nao wananza kuiga mambo yasi yao! mwali anawekwa nje ya nyumba na kesho yake mnajipiga na pilau au biriyani na maji ya kunywa arusi imehsa, you will hardly spend 1-5m to 2m tena huko ni kwenye higher side ..poleni sana, inabidi watu tubadilike.

  Utakuta mtu anaumwa ugonjwa unaohitaji kuchangiwa mgonjwa apate matibabu au dawa, waLLAhi humuoni hata mtu mmoja, na akishakufa watu wanatoa ubani unajiula wanini? sasa ngoja ije arusi watu watachangia malaki na mailioni, au utakuta mtoto hana ada ya shule na ana akili sana ukiomba msaada watu kimya...TUNAKWENDA WAPI WATANZANIA? ujinga ujinga ujinga, ni vema kama mdau wa juu alipsema inabidi tuzibadili akili zetu la sivyo ni balaa.

  Sometimes unakuta mtu unaombwa mchango na mtu anaeoa au kuolewa humjui eti? ! au sometimes mtu mnafahamiana kwa mbaali lakini utaona anakenua kumbe anataka kukuomba mchango! halafu KAMA DENI UTAPIGIWA SIMU NA KUKUMBUSHWA KILA SIKU, SICHANGII SICHANGII SICHANGIII
   
 11. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,638
  Likes Received: 2,065
  Trophy Points: 280
  Good idea watu wanatakiwa wabadilike maana hata mie huwa nakereka mtu anazunguushwa mjini na gari la kifahari huku honi zinapigwa mwisho wa siku anarudi kwake amepanga chumba na sebule kiasi kwamba ukimwonyesha mkanda mtu ambae hakujui anakuwa na picha flani kiasi kwamba akija kuona unapoishi ni tofauti na harusi ilivyokuwa, mie nadhani watu hata kama wanachangia inabidi kamati ihakikishe 50% ya michango inakwenda kwa maharusi alafu 50% ndio watumie kwa sherehe (inakuwa some kind of harambee flani kwa maharusi)
   
 12. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Harusi zingine nikiona siyo mtu wa karibu kivile na nimechangia siendi maana mtiririko ule ule...hamna jipya kbs!!
   
 13. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Whats the wedding trend now? Mi naona wale wasimamizi kuingia moja moja wakicheza na kuungana me na ke pia maharusi kulisha/gawa keki kwa wazazi familia, pia kwenda mlimani au Serena kupiga picha........lame
   
 14. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,202
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180

  umesema vema ndg yng. Wa2 wengne wanapena kucomplicat lyf. Wengne wanafanya bonge la haruc af bd ya ndoa hawana hata hela ya kula. Kwan ukifanya haruc ikaishia kansan ni dhambi? Imeandikwa kitab gang? Kuongezeana bajet 2 na kupotezeana muda. Kuna kaka alifanya haruc ikaishia kanisan wakaandaa chakula kdg na vnywj wakala then sa 1 wakaenda kwao. Wa2 km hao ndo wanafaa fanya kile kilicho ndan ya uwezo wako.
   
 15. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwani lazima uoe kwa harusi
   
 16. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,350
  Likes Received: 2,688
  Trophy Points: 280
  subiri harusi yangu nitakualika,maximum watu 50 tu, itafanyika mchana si ndani ya ukumbi bali backyard ya nyumbani...kitakua na liveband, cook outs, itakua simple but elegant
   
 17. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  sio lazima mbinde ipo kumpata huyo mwanamke na wanafamilia watao kubaliana na hilo
   
 18. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #18
  Sep 9, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mimi huwa nalala na usingizi ndani ya kumbi za harusi kwa kuchoshwa na matukio ya kurudiwa miaka yote.
   
 19. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #19
  Sep 9, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mimi pia. Tena wanachosha - kadi inasema reception kuanzia saa 12 jioni lakini shughuli inaanza saa 2 hadi 3 usiku!
   
 20. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #20
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kumbe harusi ni sanaa
   
Loading...