MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,222 Reaction score 6,716 Aug 27, 2015 #21 nsa ji said: Kumekuwa na wimbi la baadhi ya wanawake kuolewa na kufanya harusi wakiwa ni wajawazito. Maoni yenu ni nini juu ya wanao oana wakati mwanamke akiwa mjamzito? Je, maandiko ya Mungu yasemaje juu ya hili? Click to expand... Watu wana-test zari mapema mkuu... Hakuna anayetaka kuuziwa mbuzi kwenye gunia
nsa ji said: Kumekuwa na wimbi la baadhi ya wanawake kuolewa na kufanya harusi wakiwa ni wajawazito. Maoni yenu ni nini juu ya wanao oana wakati mwanamke akiwa mjamzito? Je, maandiko ya Mungu yasemaje juu ya hili? Click to expand... Watu wana-test zari mapema mkuu... Hakuna anayetaka kuuziwa mbuzi kwenye gunia
dalalitz JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 3,476 Reaction score 2,086 Aug 27, 2015 #22 Ki-Islam Ndoa hizo sina hakika kama zinafanyika na kama mtajifanya pengine wahusika wanaficha ni makosa. Ila, -Hakika iso' -na shaka ni kuwa kiumbe atakae zaliwa (Mtoto) Atakuwa ni mtoto-HARAM.
Ki-Islam Ndoa hizo sina hakika kama zinafanyika na kama mtajifanya pengine wahusika wanaficha ni makosa. Ila, -Hakika iso' -na shaka ni kuwa kiumbe atakae zaliwa (Mtoto) Atakuwa ni mtoto-HARAM.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,850 Aug 27, 2015 #23 Sio sawa ingawa ndio fashion ya sikuhizi.... Shake well before use