harusi hii ilivunja rekod,haitasahaulika

Mao ze dong

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2012
Posts
941
Reaction score
1,016
Jamani jumamosi iliyopita niliudhuria arusi moja katika nchi ya jiran(KENYA) ambayo ilinishangaza maana bi aruc alikuwa mjamzto,mshenga wake mjamzto,mama wa b aruc mjamzto,mama wa bwana aruc mjamzto,wagawa vyakula wote wajawazto,kamati ya mapokez(wanawake) wote wajawazto,mc mjamzto,hadi mbuz aliyetengenezea ndafu nackia alikua mjamzto.ujazito wa watu wote hawa ulikua unaonekana waz kwaharaka haraka ni kama wa miez 5 kuendelea.Kwa kwel sijawah kuona haruc kama hii.
 
MMmh mbona hawakunialika maana mi pia mjamzito
 
inamaana hata bwana harusi alikua mjamzito basi hiyo ilkua kali kuliko
 
duh I bet wanaume wote nao walikuwa na vitambi
 
yaonekana hata wazamiaji kama wewe walikuwa wajawazito endeleeaaaaaaa.................
 
Jamani jumamosi iliyopita niliudhuria arusi moja katika nchi ya jiran(KENYA) ambayo ilinishangaza maana bi aruc alikuwa mjamzto,mshenga wake mjamzto,mama wa b aruc mjamzto,mama wa bwana aruc mjamzto,wagawa vyakula wote wajawazto,kamati ya mapokez(wanawake) wote wajawazto,mc mjamzto,hadi mbuz aliyetengenezea ndafu nackia alikua mjamzto.ujazito wa watu wote hawa ulikua unaonekana waz kwaharaka haraka ni kama wa miez 5 kuendelea.Kwa kwel sijawah kuona haruc kama hii.

wapi picha......?
 
Ukiona hivyo ujue hata siku ya kuachana mke atakuwa mjamzito.
 
vipi kuhusu magari ya maharusi nayo yalikuwa yana ujauzito eenh!!
 
Back
Top Bottom