Haruna nyionzima aipa ushindi Yanga toka kwa goli la dakika za lala salama

moodykabwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
625
602
Haruna Niyonzima aipa ushindi Yanga kwa goli la dakika za lala salama.. Goli la kwanza lilifungwa na Saimoni Msuva dk ya 3 tu ya mchezo.

Ft, Yanga 2 Mwadui 1

N/B:
1. Simba 57
2. Yanga 56
Yanga bado ina mchezo mmoja mkononi.

Azam pia kashinda dhidi ya Mtibwa 1-0

nini maoni yako???
 
Attachments

  • 1460562070280.jpg
    1460562070280.jpg
    7.8 KB · Views: 50
Kwa maamzi ya kupunguza mchezaji,hakika Tanzania bora tu timu nyingine ziache kuchezea pesa.Yanga apewe tu hilo kombe maana TFF ndio wameamua hivyo.
 
Kwa maamzi ya kupunguza mchezaji,hakika Tanzania bora tu timu nyingine ziache kuchezea pesa.Yanga apewe tu hilo kombe maana TFF ndio wameamua hivyo.

Mtu huwezi ukafanya faulo ya wazi na refa aogope kutoa kadi kwa kuwa eti ataambiwa anapendelea Yanga, hiyo haipo. Mtu akicheza rafu au faulo lazima alimwe kadi. Unajua watu wanakuwa na perception mbaya mno na YANGA kwamba inapendelewa wakati siyo kweli. Kwa mfano siku ile ya Yanga na Simba ambapo Simba ililala 2-0 yule mlinzi nadhani anaitwa ABDUL BANDA alifanya faulo za 'kifala' kabisa sasa eti aachwe tu kwa kuwa yuko Simba na kwamba eti akitolewa itaonekana YANGA inapendelewa? NO WAY.
 
Haruna Niyonzima aipa ushindi Yanga kwa goli la dakika za lala salama.. Goli la kwanza lilifungwa na Saimoni Msuva dk ya 3 tu ya mchezo.

Ft, Yanga 2 Mwadui 1

N/B:
1. Simba 57
2. Yanga 56
Yanga bado ina mchezo mmoja mkononi.

Azam pia kashinda dhidi ya Mtibwa 1-0

nini maoni yako???
wenye ligi tumerudi...simba ajiandae kurudi nafasi aliyoizoea!
 
Baadae mniwekee clip ya Jerry Muro akibwabwaja kwani sina access ya kumpata.
 
Sasa mtu amecheza foul na alikuwa na yellow ulitaka refa amiachie kisha anacheza na Yanga??
Uzuri miaka hii ya teknolojia watu hawadanganyiki wanaona dhahiri mtu kacheza faulo kisha watu wana lalamika na tayari alikuwa na kadi ya njano.
 
simba vs yanga
simba red card

yanga vs ndanda
ndanda red card

yanga vs kagera
kagera red card

yanga vs mwadui
mwadui red card
 
Kwa maamzi ya kupunguza mchezaji,hakika Tanzania bora tu timu nyingine ziache kuchezea pesa.Yanga apewe tu hilo kombe maana TFF ndio wameamua hivyo.
Unataka mtu aingie na shoka ndiyo apewe kazi.
 
simba vs yanga
simba red card

yanga vs ndanda
ndanda red card

yanga vs kagera
kagera red card

yanga vs mwadui
mwadui red card
Ndiyo maana yake. Na bado wanapewa sana hadi wacheze mpira badala ya kutaka kumuumiza!
 
Back
Top Bottom