Harufu ya utapeli juu ya ununuaji gari mtandaoni

thehunk

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
533
Reaction score
233
Wanajamvi katika harakati za maisha nikaona kea sasa kutokana na shughuli zangu basi si vibaya kumiliki gari ili kuweza kwendana na kasi ya hili jiji na maisha kwa ujumla.

Basi nikaanza kupitia pitia mitandaoni ..ndipo nilipokutana na mtandao mmoja wa sbt japan.kwa kuwa nilivutiwa na bei zao na nikaona kuna sehem ya kujisajili basi nikajisajilia na kwa bahati mbaya nikaandika namba yangu ya sim.

Haikupita siku mbili nikapokea sim kwenye namba hii +81 45-290-9485 na jamaa akajitambulisha kwa majina ya kijapan amabayo siyakumbuki na kusema kaona mim natafuta gari na kuniuliza aina gani ya gari nahitaji.nikamtajia huku akiongea kiengereza kibov kwa lafudh ya kijapan .

Kikubwa nilichowaambia kwamba kwa sasa sina mpango wa kununua gari ila mwezi ujao ndio nitanunua.

Wakasema sawa basi kwenye email yako nimetuma picha za hiyo gari

Haikupita wiki wakapiga tena sim na kusema kwamba kuna offer kwa sasa na magari ni bei rahisi zaid kwa hiyo bora ninunur sasa na safar hii alikuwa mwanamke niliyeongea nae kwa kiingereza tena ...nika mwambia sawa ila mimi kwa sasa sina hela .akakata sim haikupita siku nyingi akkapiga sim nikaona ni usuumbufu sikupokea ...ikawa anapiga mara kwa mara nokawa sikupokea mara kuna siku akabadili namba na kupiga namba inayo anzia na +255 na namba zingine kupokea akajitambulisha yule jamaa wa kwanza kuwa anapiga sim kutoka japan...ikabidi nikate sim na kuangalia vizur labda macho yangu yalinidanganya lakin nikaona ni code za tanzania

Basi akapiga nikawa nakata mara kwa mara ..

Ikapita kama miezi mi 4 leo wakapiga tena safari hii ni. sauti tofauti naa zile za mwanzo kwanza akasalimia kwa kiarab ..kisha kwa kiswahil halaf kwa kingereza ....mi nikamjib kwa kiswahili ..kwamba sema shida yako..nikaona kaongea kwa kiswahili..hapo hapo nikaanzaa kumtukana mpaka kakata sim.
 
Acheni kumdanganya. Hao ni sbt. Wako Japan na wana ofisi Tanzania. Waliona mteja ni mtanzania wakamuunga na wa Dar. Wale jamaa ni wafanyabiashara wazuri. Inawezekana walifikiri lugha inasumbua. Jamaa wanalipwa kwa incentive ndo maana wanajali wateja sana.
 
ni kweli,sbt wanaweza kukupigia kwa namba ya japan au kwa namba ya tanzania,ni jamaa wazuri na vigari vyangu vyote nimekuwa nikinunua kwao na hawajawahi kuniangusha,sema tatizo ndio hilo ukishajisajili pale kwenye online charting watakutwangia simu mpaka uboreke lakini all that ni suala la marketing na ni lazima wakubembeleze ili ulinunua nao wapate kamisheni yao,kwa hiyo mdau usiogope hiyo code number ya tanzania,ni haohao sbt japan
 
Ila hiyo ya kupokea simu kwa code ya Tanzania ni jambo la kawaida sana. Maana mitandao kuna muda inakuwa haipo vizuri.

Nakumbuka kuna kipindi nilikuwa nje ya Tz,nikaamua kumjulia hali Mama,ila aliposikia sauti yangu akashangaa akaniuliza umerudi Tz?? Maana hapa naona unanipigia kwa namba ya voda.

So yawezekana hata hao ni maswala ya kimtandao au kweli ni matapeli.

Ila sio jambo zuri kumtukana mtu usiyemjua katika simu.
 
Wanajamvi katika harakati za maisha nikaona kea sasa kutokana na shughuli zangu basi si vibaya kumiliki gari ili kuweza kwendana na kasi ya hili jiji na maisha kwa ujumla.

Basi nikaanza kupitia pitia mitandaoni ..ndipo nilipokutana na mtandao mmoja wa sbt japan.kwa kuwa nilivutiwa na bei zao na nikaona kuna sehem ya kujisajili basi nikajisajilia na kwa bahati mbaya nikaandika namba yangu ya sim.

Haikupita siku mbili nikapokea sim kwenye namba hii +81 45-290-9485 na jamaa akajitambulisha kwa majina ya kijapan amabayo siyakumbuki na kusema kaona mim natafuta gari na kuniuliza aina gani ya gari nahitaji.nikamtajia huku akiongea kiengereza kibov kwa lafudh ya kijapan .

Kikubwa nilichowaambia kwamba kwa sasa sina mpango wa kununua gari ila mwezi ujao ndio nitanunua.

Wakasema sawa basi kwenye email yako nimetuma picha za hiyo gari

Haikupita wiki wakapiga tena sim na kusema kwamba kuna offer kwa sasa na magari ni bei rahisi zaid kwa hiyo bora ninunur sasa na safar hii alikuwa mwanamke niliyeongea nae kwa kiingereza tena ...nika mwambia sawa ila mimi kwa sasa sina hela .akakata sim haikupita siku nyingi akkapiga sim nikaona ni usuumbufu sikupokea ...ikawa anapiga mara kwa mara nokawa sikupokea mara kuna siku akabadili namba na kupiga namba inayo anzia na +255 na namba zingine kupokea akajitambulisha yule jamaa wa kwanza kuwa anapiga sim kutoka japan...ikabidi nikate sim na kuangalia vizur labda macho yangu yalinidanganya lakin nikaona ni code za tanzania

Basi akapiga nikawa nakata mara kwa mara ..

Ikapita kama miezi mi 4 leo wakapiga tena safari hii ni. sauti tofauti naa zile za mwanzo kwanza akasalimia kwa kiarab ..kisha kwa kiswahil halaf kwa kingereza ....mi nikamjib kwa kiswahili ..kwamba sema shida yako..nikaona kaongea kwa kiswahili..hapo hapo nikaanzaa kumtukana mpaka kakata sim.

Sio matapeli Mkuu, hivyo ndivyo SBT wanavyofanya mambo yao. Na ukiweka email address basi watakutumia attachment za excel zenye magari lukuki uchague upendalo. Inabidi uwazoee tu mkuu!
 
hahahha SBT ndo walivyo
mie nilikua naongea nao kila kukicha..nikichoka nampa dogo aongee nao..
wanajali sana..

tukiweka na home address hawa jamaa watakua kutwa wanabisha hodi makwetu
 
Mkuu ishu hapa sio utapeli bali ni simu zao zisizokauka.....hawa jamaa wanaboa kwa kweli ila sio matapeli hata kidogo.
 
Sbt ni wasumbufu kwa kupiga simu mara kwa mara.

Ila wana magari mazuri tu na niwaaminifu mbona???
 
wasumbufu balaa sbt kajiondoe kupokea mail zao
 
Mkuu.. Utajuta kuwapa namba yako ya simu hao SBT Japan.. Mimi wamenisumbua vya kutosha tangu nimejisajili kwenye mtandao wao 2012, simu zao hazikauki hadi nimewablock namba zao zote.. Yani sijui wanavuta bangi wale?
 
N jambo la kawaida mkuu wanafanya follow up kwa customers ili kukufanya uwe aware na hitaji lako la gari na ni moja ya njia za promotion
 
Nunua kupitia mitandao hii ni salama na gari inakufikia mpk bandarini, unaweza kuishushia kupitia bandari ya dar es salaam au boda ya horohoro kupitia mombasa port.

-tradecarview
-autorec
-befoward
 
Wanajamvi katika harakati za maisha nikaona kea sasa kutokana na shughuli zangu basi si vibaya kumiliki gari ili kuweza kwendana na kasi ya hili jiji na maisha kwa ujumla.

Basi nikaanza kupitia pitia mitandaoni ..ndipo nilipokutana na mtandao mmoja wa sbt japan.kwa kuwa nilivutiwa na bei zao na nikaona kuna sehem ya kujisajili basi nikajisajilia na kwa bahati mbaya nikaandika namba yangu ya sim.

Haikupita siku mbili nikapokea sim kwenye namba hii +81 45-290-9485 na jamaa akajitambulisha kwa majina ya kijapan amabayo siyakumbuki na kusema kaona mim natafuta gari na kuniuliza aina gani ya gari nahitaji.nikamtajia huku akiongea kiengereza kibov kwa lafudh ya kijapan .

Kikubwa nilichowaambia kwamba kwa sasa sina mpango wa kununua gari ila mwezi ujao ndio nitanunua.

Wakasema sawa basi kwenye email yako nimetuma picha za hiyo gari

Haikupita wiki wakapiga tena sim na kusema kwamba kuna offer kwa sasa na magari ni bei rahisi zaid kwa hiyo bora ninunur sasa na safar hii alikuwa mwanamke niliyeongea nae kwa kiingereza tena ...nika mwambia sawa ila mimi kwa sasa sina hela .akakata sim haikupita siku nyingi akkapiga sim nikaona ni usuumbufu sikupokea ...ikawa anapiga mara kwa mara nokawa sikupokea mara kuna siku akabadili namba na kupiga namba inayo anzia na +255 na namba zingine kupokea akajitambulisha yule jamaa wa kwanza kuwa anapiga sim kutoka japan...ikabidi nikate sim na kuangalia vizur labda macho yangu yalinidanganya lakin nikaona ni code za tanzania

Basi akapiga nikawa nakata mara kwa mara ..

Ikapita kama miezi mi 4 leo wakapiga tena safari hii ni. sauti tofauti naa zile za mwanzo kwanza akasalimia kwa kiarab ..kisha kwa kiswahil halaf kwa kingereza ....mi nikamjib kwa kiswahili ..kwamba sema shida yako..nikaona kaongea kwa kiswahili..hapo hapo nikaanzaa kumtukana mpaka kakata sim.
Kaka nikuhakikishie kama ni SBT kuna uwezekano mkubwa sio matapeli hao, ila tu style yao ya ku-deal na mteja (aggressive marketing) ndio hua inakera maana wanasumbua sana. Mie nilidhani ni wasubufu hapo mwanzo ila baada ya kwenda nao sawa nikawa makini mwishowe tukafanya biashara fresh. Mtu wao wa Japan alikua akitumia namba hii hii ulioitaja ya +81 45-290-9485, anaitwa JUBAYA HUSSEIN na ameshaniuzia kama gari tatu hivi. Kwa sasa ni smhikaji wangu wa whatsapp, akiwa na gari poa ananitumia whatsapp nami nawatumia washkaji, ambo yanaenda.

Ila those days ilikua nikimwepa nisipopokea basi anaibadilisha au anatumia namba ingine inatokea kama mobile namba ya Tanzania. Na swala moja ni kwamba Wakati unatafuta hilo gari kuna mahali ulijiandikisha na details zako ukaziacha hapo, hizo ndizo wanazotumia kukutafuta.
 
SBT sio wezi. Nimeshafanya nao biashara zaidi ya mara tatu. Tatizo lao ni kwamba ''wanajari'' sana. Yaani ukishaingia kwenye 18 zao, utakoma kwa emails za kutosha na calls nyingi tu, yaani wanatangwa hadi Jumapili.

Dawa ni kuwaambia umeshanunua gari tayari au wasikusumbue kwa sasa na wewe ndio utawatafuta ukishakuwa tayari kununua gari
 
Back
Top Bottom