Utaumiza kichwa chako bureee kutafuta majibu...Watanzania wengi mwaka 2005 na 2010 walikuwa ni janga la kitaifa....
Wadau, Kuna majengo ya Kifahari yamejenga japo Msoga, Pia kuna barabara za lami zinaingia ndani ya Kijiji.
Sijui nani kafanya yote haya? Je, ni JK? Na kama ni yeye, Kafanya kwa hela zipi? Na kwanini iwe Msoga tu?
ni kweli mkuu, waliopiga kura wa miaka hiyo ni janga la taifa.
wamelirudisha nyuma sana taifa letu mpaka tunajiogopa.
Utaumiza kichwa chako bureee kutafuta majibu...Watanzania wengi mwaka 2005 na 2010 walikuwa ni janga la kitaifa....
Mkuu kajiendikishe kwanza, nenda na mwenzio