Ladies and gentlemen tusaidiane kidogo hapa...
Hivi ni njia ipi bora ya kumwambia mtu mwili wake unatoa harufu bila kum-offend? Ni opposite sex na mna mahusiano either ya kikazi (co-worker) ama kwa namna moja kuna kitu kinawaweka eneo moja siku zote za kazi
Utazunguuuja we
Tafuta namba nyingine mtumie sms mwambie ukweli wote muelekeze na nini cha kufanya.
Kama huwezi tafuta jamaa ako hapo ofisini muAnze kumtania utani utani mama kikwapa hicho maji ya dawasco nini,atanyooka tu