Harrier new model 2021 0 KM ni bei gani?

sipati picha, unanunua huyo mdudu kwa 150ml, unakuja nayo bongo, bajaj inakukwangua unashuka kwa hasira unamwangalia dogo mwenyewe maskini hana hela na bajaj wala sio yake, ya tajiri au day waka kwa mwingine anayepeleka malengo kwa tajiri, kifupi hana uwezo wowote wa kununua hata taa tu au hata kupaka rangi.....

wewe kwa hapa bongo, nunua gari yeyote tu alimradi inatembea kukufikisha unapoenda basi. mengine ugonjwa wa moyo.
 
Ukiwaza hayo hutofanya la maaana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…