Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,294
Amekuwaa kama mganga wa kienyeji.
Amealikwa kwa Red capet![]()



kapatwaa
Hahahaha kweli cover ile cover jeusiiiKaulizwa kwa nini umefanya hivyo akasema eti amefanya cover ya Alikiba alivovaa ile nguo kwenye shoo yake kule Sauzi...Hahaha huyu jamaa kwa vituko noma
Heri yake kuliko Ben Po na ile picha tako nje limepakwa mafuta linang'aa
Ben Paul bangi anazovuta sio
ni kweli mkuu kuna video anaimba kabisa wimbo wa brenda fassie ule vulindelaHuyu mkali vp hapitwi?![]()
![]()
![]()
![]()
Au ni edited mazee